Habarini wakuu...
Siku zote nimekuwa niki'export video kwenye Adobe premier kwa kuchagua moja ya presets ambazo zimewekwa. Ila leo nikawa mdadisi kidogo kujaribu kucheza na baadhi ya settings...
Nahitaji free application ya kuhamisha text msg zote kutoka iphone 7 kwenda iphone X, nimefanya kwa icloud imekubali kuhamisha picha na contact peke yake.
Habari wadau,
Kwa anayefahamu; eti ni software gani nzuri itakayonisaidia kuandika kitabu?
NB: Kitabu changu ni cha kitaaluma, kina mathematical formulas, tables na Michoro mbalimbali!
Ahsante
Imezima ghafla, nimeifungua nimekutana na kitu cha namna hiyo wakuu
Je, hiyo device inapatikana kwa model hiyo?
Natanguliza Shukurani
Sent from my Redmi Note 6 Pro using JamiiForums mobile app
Salam wakuu,
Habari za wakati huu? Strait to the point, miaka ya nyuma kidogo simu Aina ya blackberry zilishika hatamu Sana. Wakati tuko vyuoni sifa ya pisi Kali au blazamen lazima umiliki BB...
Wakubwa shkamooni,wadogo marahaba,warika langu,zamda huu?
Kama heading ijielezavyo hapo juu. Ikiwa ww ni mtaalam wa computer science na unaweza ku creat software itakayoniwezesha kudhibiti mapato...
Habari za majukumu wadau wa tech. Lengo la kuandika thread hii ni kuomba mnisaidie. Kuna video clips nimezichukua kwa simu camera, nataka kuziunganisha kwa kutumia kinemaster app. Lakini tatizo ni...
Kutokana na kichwa cha habari hapo juu ni kua hapa katika maeneo ya mijini kuna hawa mafundi saa wamekuja kugeukia ufundi wa simu na papo hapo nimeona tangazo kwenye banda la fundi saa likisema -...
Wakuu me so mjuzi wala, mzoefu wa computer na kutumia natumiaga kucheki movie, Na game, sasa kuna jamaa anauza computer aina ya Dell, lakini nilivo icheki ndani inatumia Window 7 XP, afu aiwezi...
Je, zakunafahamu uwezo wa 5G? Sifae n.k? Makala hii itakusaidia kuweza kuelewa kwa undani teknolojia ya 5G. Hii ni moja ya teknolojia muhimu na kubwa katika sekta ya mawasiliano katika mwaka huu...
Wakuu wangu naombeni msaada wa vitu hivi kwanza
1.Desktop yangu imebadili Rangi ya Display nakuwa kama blue ilio fifia kiasi inapelekea kusoma kwa shida sanaa na hata kuchapa kazi zangu baada ya...
Habari zenu wakuu,
Nimeanzisha huu uzi maalumu kwaajili ya kubadilishana ujuzi kuhusu tasnia ya photography na retouching. Hivi vitu viwili huwa vinaenda sambamba na huwa vinategemeana kwasababu...
Habari ndugu zangu
Mimi Nina mpango wa kununua camera nilikuwa nataka mnijuze camera’s gani ya bei rahisi kwenye kampuni ya Nikon ambayo ipo vizuri kwaajili ya photography.
MAJIBU YENU PLZ NA...
Nina modem ya vodacom zile za zamani sijui nimeikorofisha wapi mara baada ya kui unstall na kui install Join air, hapo ndomkosa likaanzia. zamani ilikuwa ukiichomeka kwenye computer inajiinstall...
Wakuu nauliza na pia nataka kujua kama kuna simu inayo-operate au kufanya kazi kama kompyuta inavyofanya kazi,
Hapa nazungumzia jinsi upangaji wa mafaili unavyofanyika katika kompyuta na je simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.