Ninawezaje kupata serial number ya TV yangu iliyoibwa? Kampuni ya king'amuzi inaweza kutunza serial number kama ambavyo kampuni za simu zinatunza IMEI number?
Wakuu habari za wakati huu.. naomba mwenye kujua amabaye ataweza kunifanyia intergration ya Direct pay Online kwenye App na website yangu Nawasilisha mwenye kuweza anijuze tufanye kazi..
Hello laptop yangu Hp mwanangu kaipiga imeachia kwa nyuma na ina vitu vingi vya muhimu sana nahofia inawezekana ikazima, ila kuwaka inawaka fresh issue ni nyuma hapoo naomba msaada inahitajika...
Ninahitaji mtaalamu wa kunifanyia marekebisho, nilinunua gari mnada wa TRA likiwa halina ufunguo(ulipotelea mezani kwao) katika mazingira hayo nililazimika kulibeba kwenye crane hadi garage, na...
Salaam
Wanajamii naomba kujua naweza zalisha vipi umeme wa 8 Kw kama nipo sehemu ambapo hamna umeme wa TANESCO?
Mimi nilikuwa nawaza kama kutumia betri ya gari au jenereta ila sina uhakika kama...
Nimepata changamoto ya kushindwa kuunganisha Kadi yangu ya Airtel Master card na Paypal. Haswa eneo la ukomo wa tarehe. Hitilafu ninazokutana nazo kama kwenye picha ifuatavyo:
HAbari zenu wakuu?
Naomba mnisaidie, modem yangu nikiconnect inazima mobile hotspot. Je, niwezeje kushare internet kwenye computer nyingine.
Pia sms zikiingia zingine hazisomeki, yaani zinakuja...
Habar wadau
Nina computer yangu hapa kuna hii cable inaitwa ethernet sijawah itumia kabisa kwa internet sasa naomben kujua nawrzaje supply internet kwenye PC au router via ethernet cable kupitia...
Wakuu nahitaji kupata app itakayoniwezesha kutuma sms pale ambapo simu yangu haipokelewi, mfano simu yangu nikiwa nimeiweka chaji mtu akinipigia na kwa Vite sitakuwepo karibu na simu basi hiyo app...
Habarini wanajukwaa! Kuna kitu nilipenda kufahamu kwa wanaojua. Hivi ukinunua bidhaa kutoka Kikuu na Jumia nimeona wana kitu kinaitwa door-to-door delievery-- wanakuletea hadi mlangoni, swali...
Wakuu
Naomba anayejua jinsi ya kuiroot tecno spark 3 anielekeze
Maana naona simu yangu inajaa jaa sana
Nataka niiroot ili niweze kufuta baadhi ya built in apps ambazo sizitumii na zinachukua...
Basi pamekuepo na uhitaji mkubwa sana na changamoto kwa baadhi ya watu hasa pale simu zao zinapozima gafla muda mwingine kuwaka kwa kuganda hivyo wameshindwa kupata ufumbuzi au wamepata lakini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.