Wakuu habari,
Naomba msaada wenu, nina TV aina ya SOLSTAR 55" ambayo ni android. TV imeacha ku respond kwenye remote na hata kwa buttons za kawaida. Hapa ndipo iliyokwama, yaani hata kuizima na...
Habari za saizi ndugu zangu naomba kwanza nieleze shida yangu kwa ufupi ipo hivi na pc yangu ya hp notebook gen 9 processor ni 2.3 hadi 3.2 tatzo lake upande wa kudownload inakuwa na speed ndogo...
Wataalam,
kwa anayejua software kwa ajiri ya kumix video kutoka source mbalimbali mfano camera tatu unakuwa unaruhusu picha ipi idisplay, kwa mwenye utaalam msaada tafadhali.
Habari watu wa Mungu,
I have idea ya kutengeneza biomedical equipment /software ila kuanzia development yake mpaka ku-implement inatakiwa fungu kubwa, so nawezaje kupata fund whether kutoka...
Wakulungwa habari ya muda huu, simu yangu kila nikifuta kitu inaleta disappearing notification "item moved to trash", awali nilidhani mizigo ndio inakuwa deleted for good sasa leo nadelete baadhi...
Ofisa Mtendaji Mkuu na mbunifu wa jukwaa la Gigspace, Ashura Babi, akiwa na mwanzilishi mwenza, Steve Mawalla, wamesema waliamua kuanzisha jukwaa hilo kwa ajili ya kuwaongezea na kuwafungulia...
Kiufupi kabisa kama umetengeneza youtube channel baada ya 2015 na bado haujaanza kuingiza hela kafanye kitu kingine tu coz hela ya YouTube channel ni ngumu mno kwa sasa. Hii imesababishwa na...
Habarini wakuu, naomba kuingia kwenye mada,
Kwanza shukrani kwa wote mlionisaidia kunikutanisha na provider wa internet na nimefanikiwa,
Nimekuja kwenu vijana niliomaliza chuo kwa upande wa IT...
Habari wakuu.
Nina changamoto kwenye suala la connection ya internet kwenye computer nahitaji msaada wa anaeweza kujua jinsi ya kusolve hili tatizo.
Pc yangu ni DELL ina window 10, nilichange...
Jamani wakubwa humu ndani, mimi mwenzenu napenda kuwa mtaalam wa "Computer maintenance "
Sema sijapitia chuo labda kusoma elimu hii ya computer, lakini naijuia kuitumia kwa kiasi fulani (sio mjuzi...
Humu ndani Kuna watu wakubwa wenye maono ndo maana nimekuja kuwaomba ushauri,mdogo wangu kanunua camera yake Nikon nzuri Sana Na anafanya production Ni mtaalam kanipa offer ya kunirekodi video ili...
Habari, kwanza nianze na lengo la mkeka uu ambalo ni
#To promote the brotherhood and collaboration among we tanzanian bloggers
Nlipitia nyuzi flan ambayo ilikuwa imeandikwa kwa umaridadi mkubwa...
Habari zenu waungwana,nilikuwa nataka kudownload game za magari kwenye playstore lakini nikishamaliza kudownload mwisho inaniletea vitu ivyo niscan app pembeni yake inaniambia open the app halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.