Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
This error is generally associated with an external device you have installed recently and the error message is accompanied with performance issues regarding the device. The error itself can be...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna photocopy mashine aina ya kyocera,naomba kujua kuhusu mambo kadhaa 1.utendaji wake wa kazi ukoje,yani speed na ubora wa picha 2.vifaa vyake kwa hapa nchini ke vinapatikana na vinapatikana...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wanajamii!, naomba kufahamishwa kwa wenye uelewa, wakati wa kutafuta ili kununua a steam iron, ni aina gani nzuri hapa bkngo na ni vitu gani vya kuzingatia kabla. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Niaje waungwana katika pitapita zangu nimekutana na pasi za umeme ambazo functioning yak ni baada ya kucharge kama simu. Je, ni wapi kwa hapa bongo ntazipata, na bei yake ipo je?
1 Reactions
1 Replies
768 Views
Habari wadau. Kwa wanaojua hii device inayoitwa Alexa ni kama ilivyo siri kwenye iphone. Tofauti ni kwamba alexa ni independent device, haiko ndani ya simu. Ni kama kaspika fulani hivi, ambapo...
0 Reactions
4 Replies
770 Views
Habari Geeks, Naomba kuuliza. Mfano, Mfanyakazi wa Voda akiamua kutengeneza namba na kisha kuzituma kwenye akaunti yake ya M-pesa kama muamala na baadae akatoa pesa kwa Wakala Mtaani. Je...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu nipo moshi mjini hapa hivi vifaa nimetafuta moshi nimekosa nimetuma mtu kariakoo kavikosa nitavipataje PCB HAND SOLDERING MESH SOLDER PASTE
0 Reactions
10 Replies
971 Views
Nina sabufa yangu nikiwasha mziki bass inaimba kidogo baadar inakata yenyewe. Inaweza kukaa had dkk kadhaa then inaimba tena..au mpaka nibonyeze bonyeze kile kitovu chake inapiga tena..shida ni nn...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda huu? Naomba kujua umuhimu wa kifaa hiki Je, kinazuia radi? Kinaweza kusaidia vifaa vyako visiungue kutokana na kupungua au kupanda kwa umeme ghafla?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na ndugu yangu mmoja mitaa ya Aggrey tukitafuta simu aina ya galaxy Note 4 mpya, huwezi kuamini tulizunguka maduka yanaweza kufika hata 100 lakini hatukupata hata...
50 Reactions
323 Replies
57K Views
Nimepitapita playstore na nimeona kuwa ikitaka kununua kitu huu mfumo unatumika. Naomba kwa ambaye kawahi utumia au anajua jinsi unavyofanya kazi anijulishe namna unafanya kazi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini Devs!! Naomba msaada tafadhari!! Ni kwa namna gani naweza kupata API za miamala iliyofanyika kwenye Benki automatically ili niihifadhi kwenye DB ya system yangu!? Kwa mfano...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Ikiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wa kuunda / kutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka. Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Kwema wakuu? kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, ningepeda kufahamu juu ya matumizi ya MB kwa watumiaji wa PC zenye window 10,8,7 maana kwa upande wangu nashindwa kumudu gharama za...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Samahani wakuu km kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni msaada wa hizo set up zimenihangaisha tokea asubuhi mpaka jioni bado sijafanikiwa. Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kichwa cha post kinavyosema, nataka ujue ni jinsi gani ya kuweza kuflash simu yako ya Android kwa kutumia Proglam mbalimbali kulingana na tatizo binafsi. Hapa kwanza nitaelezea simu...
7 Reactions
24 Replies
22K Views
Naona kwasasa ndio zimeshika soko maduka mengi ya Tv lazma utakuta mzigo wa kutosha, je ubora wa hizi tv upoje jamani kwa wale ambao tayari wanazitumia mje mtujuze! Sent from my iPhone using Tapatalk
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu habari, Naomba mnijuze hili. Nikitaka kutoa hadithi kwenye pdf halafu niiposti kwenye mtandao wowote ule nifanyeje?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Alama ya dot ya orange kila ninapotumia kiswaswadu changu toka nilipo fanya update Hicho ki dot hapo
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Watumiaji wa Tecno smart Kitochi, Tigo smart Kitochi pamoja na Vodacom smart Kitochi naomba kujua hizo simu kama zina uwezo wa Hotspot, namaanisha kwamba kama nikiweka bando la internet naweza...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom