Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada wakuu, nahitaj kuagiza hiko kifaa hapo 4g WIFI router Aliexpress ila katika pita pita nimeiona moja ambayo nadhani kulingana na uchumi na mahitaj yangu inanitosha, ila wameandika ina...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hope mko poa! Me nimewaza kitu kimoja. (I'm not sure if someone else has already talking about that before). kwamba kwa Nini software and Apps developer wa Tz tukutane na kujoin together. then...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 4 August 2020, Google walizindua feature yao ya kushare mafile kati ya Android phones iitwayo Nearby Share ambayo ni kama Xender app na Airdrop ya iPhones. Nearby Share inafanana...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahitaji battery original la Samsung Galaxy s7 edge kwa mwenye kufahamu duka au sehemu yanapo patikana original anipe muongozo nawasubiri
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu kuna huu kitu nimeisikia inaweza kufanyika, lakini sijajua hasa ni wapi wanafanya na gharama zake zipoje!! Nina Tv yangu Original Lg, ya 2017 , ni Flat screen ya kawaida tu, lakini kwa sasa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kama mnavyojua kua kuna baadhi ya simu mpya kuanzia iPhone XS and above, Google Pixels na baadhi ya Samsung kua zinasupport dual SIM lakini moja ni physical sim card na nyingine ni eSIM ambayo...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Wakuu naomba msaada account yangu ya Facebook inaniletea maswahibu ambayo siyaelewi, kimsingi sijawahi kulogout hii account ila nashangaa from no where imejifunga na nikiingiza password kuna...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Ikiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wakutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka. Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar ipo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Poleni na majukumu. Nahitaji msaada kulingana na kichwa hapo juu. Nahitaji kufanya computer at least kumi ziweze kuwasiliana pia kushare files na kucreate privileges kulingana na computer. Kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nime install Apple macOS kwenye Thinkpad t450. Kwa wale wanaotaka kudevelop iOS/macOS apps, video editing on Final Cut Pro X, Music production on Logic Pro X na hauna MacBook, basi Hackintosh ndio...
0 Reactions
3 Replies
508 Views
Katika ulimwengu wa Teknolojia wa sasa watoto wanalazimika kuwa na vifaa kama simu, laptops nk ili kuwezesha mawasiliano ya mzazi na mtoto. Kwa kiasi kikubwa wazazi wanadhana kwamba vifaa hivi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Ninahitaji kujua program au app ambayo itaniwezesha kukata wimbo/kuupunguza urefu ili nitumie kama muito wa simu(ringtone)? Unaweza kushauri app ya simu au ya computer,ila kama ya simu...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Earlier this year, the California Energy Commission (CEC) published a $20 million solicitation to fund research projects for the deployment of long-duration energy storage. The objective was to...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Wasaalam Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna jamaa yangu nimempatia simu yangu abeti lakini baada ya kunirudishia nakuta nyota kama inavyoonekana kwa chini hapa. Hii nyota ina...
0 Reactions
5 Replies
711 Views
Habari wakuu Kwa programmer yoyote anayeweza ku develop offline payment app kama Nala au mtu yoyote anaemjua developer anaeweza kazi hio Naomba anicheki Pm awe wa android ama iOS 🙏
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau baada ya kuchoshwa na saboofer za mchina nataka nijiongeze kidogo, maana kila mwaka nanunua mpya!! Napendelea brand ya samsung, ila hata kama kuna nyingine nzuri sawa!! Nahitaji kujua bei...
3 Reactions
179 Replies
42K Views
Habari, Ndugu zangu waswahili wanasema ridhiki ni kugawana,sasa anahitajika mtu anayejua hizo software kwa ajiri ya kumfundisha mtu mwingine, kwa hiyo kwa mtu yeyote anayejua au unamfahamu anajua...
1 Reactions
12 Replies
847 Views
Habari gani wadau? Katika harakati za kujaribu kuangalia namna nyingine ya kujiajiri baada ya kuomba kazi kwa miaka 5 na kukosa. Nikaamua nifikirie kuanzisha chaneli ya youtube ninatakyokuwa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu leo siku ya 3 router za smile hazifanyi kazi kuna anaejua nini kimewapata? Naona hawajibu emails wala namba ya huduma
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna mteja nimempata. Anahitaji school management system. Kama ya kwako ina sifa zifuatazo, nakuomba: Inaweza kuwa installed offline ina uwezo wa kuvuta reports sawasawa (ntaomba evidence of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom