Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natakaa kuagiza LCD hii hapa US $25.88 30% OFF|5.5 ni mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi kwenye mtandao huu pia kama kuna option naweza kupata kwa hapa Tanzania kwa bei nafuu na nikizuri...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbona App ya Twitter nimeitafuta sana App Store siipati wandugu? Kuna mtu anaweza nisaidia? Nilikuwa nayo mwaka jana ila ilipoanza kugoma goma nikaifuta,sasa nataka kuirudisha kila nikiitafuta...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu kuna WiFi tunatumia hapa chuo but iko slow sana .kiasi kwamba hata kudownload photos za watsaap wala kuplay video haiwezekani. Lakini meseji za whatsaap zinaingia fresh kwenye simu. Pia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
KWA UFUPI “Katika malalamiko hayo, jumla ya kiasi kilichokuwa kikigundulika kuibwa kwa wateja hao ni kuanzia Sh20,000 hadi zaidi ya Sh200,000 ikitegemeana na salio la mteja katika akaunti yake,”...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Fungua Notepad kisha andika au copy and paste command ifuatayo:- echo off Ipconfig/release Save as Tzhacker.bat unaweza ukasave kwa kutumia jina lolote ila cha muhimu ni .bat, (Something.bat)...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina shida ya hiyo hapo juu ya njano yenye internal 128gb! Wapi nitaipata hapa bongo ni kwa shs ngapi?
0 Reactions
8 Replies
987 Views
Habari wadau,kuna swali linanisumbua hivi mfano wasafi tv wao huwalipa azam au azam anawalipa wasafi tv? Msaada tafadhari nijue hilo
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Do you think it will be successful?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa anaetumia clubhouse tupe mrejesho. Je ni nzuri? User friendly?
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Poleni na Majukumu wataalamu nina ka inshu apa naomba kushare na nyie nikiamini humu kuna wataalam zaidi wenye weledi tofauti tofauti. Naomba mnisaidie hii PC itaweza kazi za Graphics even for...
1 Reactions
113 Replies
11K Views
Nimejitaidi Kucheki Tutorials YouTube Za Kila Aina Ila Bilabila, Simu Yenye Ni Tecno Canon 11, Nime-clear Data Na Cache Kwenye Play store Na Playstore Service Lakini Inakataa Kuinstall Facebook...
0 Reactions
3 Replies
685 Views
Habarini, Kwa wale ambao wamekuwa YouTuber wanaweza kuwa wanafahamu shughuli iliyopo katika kuhakikisha wanakamilisha mchakato wa kufikisha watch hours 4000 jinsi ambavyo si mchakato mdogo ikiwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam Wanajumuiya JF. Air Compressor size ndogo kwaajili ya kujazia upepo, hasa hasa tairi za pikipiki na gari ndogo ndogo ikiwezekana. Je air compressor mtungi wa LT 50 unatosha kwa mahitaji...
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Iwe samsung, Tecno, Sony, Nokia kwa hizi brand yenye camera wauzaji mnicheki humu 0620314884
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomba nielezeee kidogo shida zake japo kwa uchache. 1.Alishawahi kuwaambia Walimu Kwenye Semina ya mtihani wa Darasa la nne Watoke kwenye Semina kama wanaona hela ni kidogo.Malipo waliyotajiwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu na tumia hp notebook 15 pc yangu ina sumbua upande wa internet hasa wakati wa kudownload unakuta kitu kina mb 4 tu na mtandao ni 4g ila inatumia hadi dak 10 au 15 kitu cha...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Asubuhi ya leo nimeibiwa hiyo sim wakuuu najua jf kuna wataalam hapa nishaurini namna ya kuipata maana aliyeiba akipigiwa hapokei na hajaizima
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Wakuu nime download uTorrent ila kila nikiifungua inaniletea huu ujumbe tatizo litakuwa nn?
0 Reactions
11 Replies
934 Views
Laptop au wanapenda kuita Personal Computer(PC), ni kifaa muhimu sana kuwa nacho hasa kwa kijana wa sasa anayekwenda na kasi ya Dunia katika nyanja mbalimbali za maisha. Wengi wetu hatumiliki PC...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom