Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari, Husika na kichwa cha habari kama kinavojieleza. Tatizo hili limeanza baada ya kuweka window 10 pro kutoka window 8 pro. Natumai nitapata msaada.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaani nilikua na memory yangu nzuri 8gb safi huu ulikua ni mwaka watatu katika kunitumia Sasa siku nikaona kwanini ni format as internal za katika harakati za hapa na pale Siku nililazimika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wadau Hope kila mmoja anajua namba ya simu ni kitu muhimu sana na unapaswa kuishika sasa kwa hapa nchin mitandao ya simu ipo ming sasa kwa akili za kawaida mtu huwez shika namba zote yaan...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Photo editor gani inayo weza kubadili hadi background?(ni kwa window 7)
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, nataka kujua jinsi ya kupata youtube simu yangu inatumia "youtube go" na nikidownload youtube nyngne inagoma kudownload sasa naomba mnisaidie[emoji120][emoji120]
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, nimetokea kuwa na interest na maswala ya umeme hasa huu wa nyumbani, natamani nijue jinsi unavyofanya kazi na jinsi navyoweza kuunga nyaya(kufanya wiring) kuanzia jinsi umeme...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Picha hiyo na video nimezichukua angani ndani ya Q400 ya ATCL. Kwa watalaam, inakuwaje mapanga yanaonekana vizuri ukipiga picha au video ukiwa angani na yasionekane kwa kuangalia kwa macho?
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Habari? Kwa muda sasa Yeost imekuwa plugin inayokimbiza kwenye anga za SEO, lakini baada ya ujio wa Rank Math upepo umeanza kubadilika. Rank Math inakupa features zote za Yeost SEO Pro for free...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Niende moja kwa moja kwa moja kwenye mada, Ni wazi kuwa wengi wetu tunatumia au tuliwahi kutumia Facebook katika kipindi fulani. Nakumbuka miaka ya 2013 nilikuwa naazima simu kwa watu ili niingie...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimefika kwenye duka moja, nikakuta LG dvd home theatre zipo tofauti, kuna zilizoandikwa, Output Power 1000 Watts, na nyingine 600 Watts na nyingine 330 watts. Nilijaribu kumuuliza muuzaji...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimekuwa nikitafuta ni fundi gani mzuri anaeweza kufanya hiyo kazi ya detach hasa kwa hizi smartphones matoleo kuanzia 2018 maana kwa kariakoo bado sijaona fundi mzuri kwa mafundi nilio wafikia...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Hello Wakuu, miezi miwili iliyopita nilibadilisha Simu na nikafuta kila kitu kilichokua kwenye simu ya awali. Bahati Mbaya, nilifuta meseji zilizokua na umuhimu sana kwangu kuna namna yoyote ya...
3 Reactions
17 Replies
6K Views
Wanajamvi habari, naombeni usaidizi namna ya kutumia App ya Mixing Station X3/M2 kwa yeyote anayeifahamu,Nimejaribu kuifungua ila sijui nianzie wapi maana inavitu vingi.pleas help me
1 Reactions
2 Replies
691 Views
Kuna wanaochora Muziki "Nota" kwa kutumia program inayoitwa capella. Kuna ujanja wa kubadili keyboard kurahisisha uchoraji Yacapella.exe NB: (KUIANZISHA - doubleclick Icon)(KUISITISHA - bonyeza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jamii forum nimekwama hapa jinsi ya kutoa haya maneno ya nayo tokea kwenye TV aina ya hesense mwenyewe Ujuzi naomba msaada. Answer Menu> picture>shopping mode> off Sent using...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani. Sababu hii...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
Pomoja na Tech nzuri ya Super Amoled, vyenye mwanga mng'aavu, Vioo vya hizi simu ni mtihani sana kwa watumiaji. Yaani kuanzia toleo hilo na kuendelea vioo vinaweka mistari bila sababu ya msingi...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu, mwenye ujuzi wa jinsi ya kuhack gold au mwenye mod APK ya hili game la Gunship battle msaada tafadhali maana nimehangaika kuangalia YouTube lakini kila njia inagoma. Kuna ndege...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habari gani? Hivi nawezaje kublock namba ya simu ya mtu mwingine asiweze kunipigia simu na kunitumia ujumbe mfupi ikiwa simu ninayotumia haina option ya "blacklist" au "blocklist"
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu habar za wakati! Natumia ni wazima wa afya. Kama kichwa cha habari kinavo jieleza natamani kujua ubora wa izo smart phone. Mfano DOOGEE N20 kwa specifications zake na bei yake iko very...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom