Nakumbana na tatizo wakati wa upakiaji maudhui (Picha/Video) Instagram kupitia kompyuta. Nimetumia mbinu mbalimbali kuweza kutatua na kila jitihada pasi ya mafanikio, nawaza yaweza kuwa tatizo...
Habari. Nina google pixel xl, ila imeanguka kwahiyo screen yake imevunjika. Je naweza kupata replacement? Au kwa anaejua sehemu ninayoweza kurepair naomba aniambie. Na bei. Asanteni
Habari wadau! Nina simu ya huawei honor 20 ila inazingu yan kuwa wakati nashusha notifications inagoma ila kioo kiko frsh mfano apo kwenye picha nimeweka ata vidude home na back kuna wakati vi...
Nime update laptop na kila nikiwasha inagoma inasema ime start vibaya itafanya auto restart na mchezo unaishia hapo...naomba msaada kwa wataalam
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Kuna tv hapa aina ya hitach chogo yaani ilikua inagoma kuwaka sasa nimepambananayo sicruit ikawa imewaka an ila sasa kuleta mwanga kwe kioo ilikua sjafanikiwa an nikiiwasha ilikua inatoa Moshi...
Wakuu nilikua na ist yangu ikabidi nimkabidhi dereva tuifanye Tax. Na kwenda kisasa zaidi ikabidi tujiunge UBER....kwasababu za kimaslahi ikiwemo UBER imebidi niipaki kwanza.
Aisee jamaa wanapiga...
hello bosses,
ukiachana na ma-beginner, ukiwa experienced developer unampango wa kujifunza nini kipya na kwa nini mwaka huu?? au unapango wa k-learease project gani (app/website).
Wakuu napenda kufahamu vitu vifuatavyo computer32- bit operating system na 64- bit operating system computer ikiwa na hzo bit Ina maana gan? Je hzo bit znautofauti gn na IP ni bora kuliko nyngne
Network haipatikani.
Website yao haifunguki.
Simu hawapokei.
Page zao za facebook na insta zipo kimya tangu october.
Kuna waliolipia vifurushi vya mwezi, siku zinaenda tu na hua hawafidii...
Haswa kwa wanaume, ila wanawake mnajielewa sana pongezi kwenu.
Basi siku za hivi karibuni kila mtu anataka kuwa developer, oh! si dhambi, lakini inagharimu muda, pesa na nguvu.
Mtu anashida...
Heri ya Mwaka Mpya 2021,
Habari gani wakubwa na wadogo humu jamvini.! Natumaini hamjambo kabisa.
Acha niende kwenye mada moja kwa moja.! Kama maada inavyojieleza. Tangu teknolojia ya simu janja...
The Code 1 error message tells you that the device in question doesn’t have drivers installed on the computer, or the drivers are incorrectly configured. You will get a popup message saying that...
This error message is the one which appears after running a network troubleshooter on any version of Windows from Windows 7 and it indicates that there is a problem regarding your DNS server which...
Salaam wakuu
Hii tabia sasa imekua chronic kwangu haiwezi pita siku ndani ya masaa 24 nisiingie internet Tabia hii imenifanya,kutumia pesa kununua,bundle ili nisitoke mtandaoni.
Japo kuwa Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.