Ni kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano
Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa...
Geofrey Hinton anajulikana kama "GODFATHER OF AI" anatakumbusha swali la msingi, je tuko tayari kisawa sawa kwa ajili ya AI?
Sijui kama Aliacha kazi kama protest au hofu ya ukuu wa AI ambao...
Habari wana Ndugu,
Nilishawahi Kupotea Dar Nina Pesa Mkononi,Naona Daladala Zinapita Lakini Sijui Nipande Ipi Ili Nifike Ninapokusudia
Ghafla Paap! Naona Mdada Kasimama
Mimi:Mambo Samahani Dada...
Good Morning my dear brothers and sisters out there.
(1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na...
Wadau,
Kujua Excel Spreadsheets ni muhimu sana...
Tunaweza tukashirikishana tricks mbalimbali katika Excel hapa ili tujifunze wote..
Unaweza pandishwa CHEO au Kupata kazi kirahisi Kwa kujua...
Mwaka 2060 watu watakua na uwezo wa kusafiri toka sehemu moja kwenda nyingine kwa kufikiria tu!!
Je utajisikiaje ikifika wakati unatoka Dar Kwenda Dodoma kwa kufumba na kufumbua macho tu kama...
Nilikuwa sijawahi kufanya manunuzi ya kitu mtandaoni, kwa mara ya kwanza tarehe 5/08/2024 nilifanya manunuzi ya miwani ya macho katika mtandao wa eBay, hii ni baada ya miwani yangu kupasuka...
Mfano domain iwe xyz.tz na xyz.co.tz
.tz gharama ni 100,000 kwa mwaka na .co.tz ni 25,000!
Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz?
Nataka sajili domain naomba mawazo..
Mafundi mnisaidie flash file la SQ1000, maana yake ya Google ukigonga simu haiwaki.
Ambaye alisave scallter file kwenye miralce crack anitumie pls
Inakuwa na mb 4
Hawa ni Isaac Newton; the Father of Phsics na Nicolas Tesla
ISAAC NEWTON
https://en.wikipedia.org/wiki/Isaac_Newton
NICOLAS TESLA
https://en.wikipedia.org/wiki/Nikola_Tesla
Wataalamu wa mambo naomba msaada wenu katika uamuzi huu. Nina bajeti ya milioni 1.5 kwa ajili ya kununua TV, na leo nimezunguka madukani kutafuta chaguo bora.
Katika maduka ya bidhaa mpya...
Miaka ya 2009 bitcoin zilikuwa zinapatikana bure au hazina thamani yoyote. Leo bitcoin moja ni zaidi ya milion 200 , kuna hii currency ambayo bado haijazinduliwa je kuna uwezekano ikaja kutisha...
Infinix Imetisha imeleta simu unaweza kuichaji kupitia Mwanga wa Jua
💭 Ebu fikiria unatembea kwa miguu jua Kali na simu yako inakaribia kuzima, au huko kwenye gari mwanga wa Jua unakupiga tu...
Habari waungwana
Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia.
Naomba kuwasilisha.
Habari wakuu.
Ningependa kushare nanyi ujuzi wangu mdogo katika kutengeneza beat ya trap.
Kwa watakaohitaji FLP yake niunge mkono kwa kusubscribe na niandikie tu katika email hii nami...
Uchambuzi wa kina kuhusu utofauti wa IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security.
Post hii nimewandalia hususan wanafunzi waliomaliza sekondari wakitarajia...
Hello
Ni wakati sasa tunajifunza jinsi ya kutafuta loopholes kwenye ISP yeyote unayehitaji, katika makala hii tuenda kujifunza jinsi Gani tunaweza tumia udhaifu wa ISP na kupata free internet...