Nina website yangu ya kuuza na kununua sasa sijajua wenzangu wanafanyaje kupromote bidhaa nyingi ata zaidi ya saba kwenye Facebook page mfano kama bidhaa za alibaba anavyoboost facebook kunakuwa...
July 20 mwaka 1969 ndo Siku ya kwanza binadamu wa kwanza aliyeitwa Neil Armstrong aliweka nyazo zake mwezini, ni miaka 50 mpaka sasa.
Lakin mtu wa mwisho kwenda mwezin ilikuwa ni mwaka 1972...
Inawezekana kwamba waliowengi wanajua jinsi ya kutambua post code ya mtaa/kata lakini nataka kuwakumbusha na kuwajuza wale wasiofahamu kabisa
Fuata njia zifuatazo kwenye simu yako;
Full Stack Software Engineer job opening at ENGIE Powercorner, check the post on LinkedIn for more details.
https://www.linkedin.com/jobs/view/1333157797/
Please, don't ask me anything related...
Kampuni ya microsoft imefanya maboresho kwenye program endeshi (windows 10) ikiwa wameongeza baadhi ya vitu ambavyo kusema ukwel n very helpful. Baadhi ya maboresho yaliyofanyika ni kama...
Habari zenu wana Jf wote ambao mmepitia uzi huu ili kujifunza ku_download game la grand_theft_auto_city kwakifupi mnaita (GTA) sasa kama hufahamu gta unaeeza kucheza katika simu ya android toa...
Heshima wa kuu.
Nilivutiwa na mada za wadau mbalimbali kuhusu kununua vitu online, ndipo nilipoa amua kujitosa kununua simu mbili za brand ya Xiaomi mi max 2 and Xiaomi Redmi 4 Pro.
Sasa mzigo...
Hello, I have made a mobile app to buy bus tickets in Tanzania. I would like to know what you guys think. What would you improve? Find the link below:
gopamoja.com
Habari wadau!
Natumia macbook pro 2015 with retina, ilikuwa inakata na chako kwa saa 10 mpaka 12 lakin ghafla imeanza kupoteza uwezo wa kukaa na chaj mpaka kufikia kukaa na chaj kwa saa 1 mpaka 2...
Wakuu naomba mnisaidie mawazo,
Naitaji kuwa na zile picha kubwa ambazo naweza kubandika kwenye ubao wa matangazo, au hata kwenye zile vioo ambavyo unafunga taa ndani then picha inaonekana sasa...
Habari.
Ni muda Sasa tangu YouTube app Katika Simu yangu ianze kusumbua.Nimehangaika kufanya kila utundu wangu wote kwenye Simu ila nimechemsha.
Nimelileta kwenu please naomba msaada wenu
Kama...
Habali Wana Jr Naombeni Msaada Wenu Simu Yangu baada Ya Kuiroot Ilikuwa Inaishia Kuandika Logo Ya TECNO ilikuwa haifunguki nili iflash but nikakuta kuna mabadiliko mwanzoni ilikuwa inasoma 3G...
Je naweza kupata kwenye duka gani hapa Dar simu mpya aina ZTE? Niliyo nayo ni ZTE model BV0720 Version 2.0.0B04 na ningependa toleo hilo au later version, language iwe English.
Natanguliza shukurani
Habari wanajamvi, nasikia kuna mautundu yanafanyika mpaka king'amuzi cha Star times kinaonyesha channels kibao mpaka 5000+ naomba mwenye ujuzi huo anielekeze Kuanzia hatua ya kwanza mpaka ya mwisho
Naongea haya nikijua ya kua, wateja wengi wa tecno hununua simu kwa mihemuko, yaaani likitoka toleo flan likasifiwa basi kila yule atataka kununua, kumbuka enzi za H6, P5, Boom J7, C8, C9 n.k n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.