Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Simu ya TECNO CX nikiweka 3G only inashuka mtandao inabak Bar Moja tu and speed inashuka sana, Msaada kwa hili Guys. Je, naweza pata Screenshort tutorials za kucheza nayo kwenye hardware...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba jamani mwenye password ili niweze install quick book pro 2013. Nina shida kweli naomba msaada najua humu jamii forums kuna wataalamu na tumekuwa tukisaidiana please naombeni msaada wana IT...
0 Reactions
2 Replies
621 Views
Habar for past 2 days FAceapp imepata umaarufu mkubwa na watumiaji wengi je nyuma ya faceapp kuna technology ipi imetumika kuunda hii application je kuna any risk ya privacy kwa watumiaji wa hii app
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Why You Should Not Upgrade To Android 7.0 Nougat Sina Hakika Na hili Maana Sijaijaribu Hiyo Kitu ila ni kwa kuwatahadharisha tu. This is Why I May Never Upgrade to Android 7.0 Nougat This...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu kuna kaujinga kana trend kwa kasi sana huko instagram na kwingineko sasa ni hivi...................... Whether or not you use an iPhone or an Android device, FaceApp says that by using its...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Wakuu mimi nipo mkoani nahitaji desk top kwa ajiri ya games na bajeti ya 30k katika pita pita mtandaoni nimeona page hii ya discount anauza kompya.ram4,hdd500,screen inch19.kwa 28800. Nahiji...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi huwa sikubaliani na roho ya HOFU na siipagi nafasi kabisa katika mazingira yoyote yale. Niliwahi kugongana na watu wasiojulikana wakachukua simu yangu kwa uchunguzi zaidi. Kesho yake...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu kwema, Mimi sio mtaalamu kabisa wa hizi simu, ila kuanzia mwezi uliopita nilianza kutumia infinix hot 6 pro baada ya kushawishiwa na mshikaji, asee very wonderful, nimeifurahia sana hii...
7 Reactions
338 Replies
37K Views
Mwenye macho haambiwi tazama...uliza swali baada ya kuangalia....
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Kuna kiasi kikubwa sana ya tovuti tena ya taasisi zinazoheshika hapa nchini kutoa security warning kwamba ni fake/zinaiba identity au zinafanya phishing attack.Je nini ni sababu ya hii?
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Habari wajuvi, Kuna ndugu yangu anataka aagize charger kutoka aliexpress ila hana sanduku la posta hivyo anataka atumie post code ya makao makuu hapa Dar Je post code ni ipi na ofisi inapatikana...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nina iphone X katika matumizi matumizi mwezi ulopita nili ilaliaje sijui ki ukweli ila nimeamka asubuhi nashika SIMUnakuta display ni white blank,hamna maandishi kioo kinawaka kama tubelight ule...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakuu, heshima kwenu, mimi napenda sana simu toka kampuni ya tecno, mpaka sasa hii natumia tecno, nahtaji ninunue tena tecno, Je ni tecno gan yenye ubora na ya bei ya chini kama laki mbili...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Naomba nipewe ubora na udhaifu wa simu tajwa hapo juu kwa walio wahi kutumia
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za wakati huu.... Naomba mwenye kujua namna ya kuunganisha king'amuzi cha Azam kutoka kwenye receiver ya Azam na Tv nyingine,Kiufupi nina Tv mbili moja ni smart nyingine ni chogo,Hii...
1 Reactions
5 Replies
17K Views
Here is the database that contained all users info about users 1,824,953 leaked and dumped.. enjoy. .note there is more than this.. below is the link to download the database breached...
1 Reactions
39 Replies
8K Views
Msaada wa wakuu TECNO K7 LINE YA VODA IMEKATAA KUTOA CMU INAPOKEA TU UKIPIGA INAANDIKA ACT LIMIT EXCEED
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Back
Top Bottom