Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu nataka kununua desktop Sasa zipo2 pretium4 na core 2 duo Sasa ipi ni nzuri kwa matumizi mbalimbal mfano magemu
0 Reactions
1 Replies
569 Views
Jamani kuna simu ya TECNO CX Ambayo fundi alichange touch screen and system charge, sasa baada tu ya zoezi hilo naona Network yake iko chini sana (Bar Moja), had sometimes nikiweka 3G only then...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salama wakuu kuna laptop hapa aina ya HP Compaq nw 8240 inatatizo ukiwasha inaleta msg kuwa SMART CARD NOT PRESENT jamaa anasema mwanzo haikuwa hivi ilizima tu haikuwaka akaipeleka kwa fundi nea...
0 Reactions
4 Replies
949 Views
........................
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu samahani, ninafanya project ambayo inahusisha kutumia PH sensor kwa ajili ya kupima PH value katika maji, ila nimepata changamoto kupata hii sensor hapa kwetu Tanzania maana nina hitaji kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, naombeni msaada mwenye kujua like button code anisaidie, Google nimejaribu kutafuta lakini naona kama sipati results hivi. msaada please!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtandao Wa Simu Wa Tigo Una Week Sasa Hivi Ukiandika Ujumbe Mfupi ,Ukimtumia Mtu Unaandikiwa Unsuccessful Niliwapigia Huduma Kwa Mteja Wanasema Ni Tatizo Ambalo Mitambo Yao Ina Hitilafu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jf wakuu kuna pc jamaa kaniletea hapa ananiunizia laki 4 pc yenyewe ni accer E1-510 Processor Intel(R)Pentium (R)CPU N3520@ 2.16GHZ(4cpu) 2.2GHz Ram 4GB processor yake ni Quad Core...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Natafuta AdSense Mpya Ya Kununua Kama Unayo Njoo Pm Tuyajenge Fasta Pesa Mfuko Wa Shati
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Hello!,bandugu....nimepotelewa na smu yangu samsung s6,Naomba mwenye kujua maujanja ya kuweza kuitrack na kuweza kumpata mwizi ,Natangaza donge nono kwa atakaye weza kumpata mwizi pamoja na smu yangu
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Habari za muda huu wapendwa. Poleni na miangaiko ya shughuri mbalimbali na moja kwa moja niende kwenye mada Naitaji mtu mwenye ujuzi mkubwa wa mambo ya usimikaji au uwekaji wa security kwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huawei ndani ya siku 85 imeuza simu million 10 aina ya P 30 series ukilinganisha na mauzo ya P 20 mara baada ya kuzinduliwa.Ikumbukwe pia Huawei imezindua simu zake aina ya Nova 5 na 5i ambazo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu. Naomba kujua namna ya kuunganisha laini ya Vodacom kuwa ya University. Nashukuru
0 Reactions
36 Replies
20K Views
Nahitaji app ambaeitaniwezesha kutuma SMS nyingi kwa wakati mmoja .
0 Reactions
15 Replies
2K Views
CHINA: Mtandao wa WhatsApp umeingia kifungoni nchini China ukiifuatia na Instagram, Twitter, Facebook, Gmail, Snapchat na Pinterest. WhatsApp imeanza kufungiwa taratibu katika kipindi cha wiki...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Naomba niulize jamani hivi hapa Tanzania kuna hackers kweli au ni wale script kiddies.? Nashindwa kuelewa jamani...
2 Reactions
76 Replies
17K Views
Ripoti ya robo ya kwanza ya mwaka 2019 ya mauzo ya simu duniani inaonesha kushuka kwa mauzo ya jumla kwa asilimia 6.6 kutoka uniti 332.7 milioni kwa robo ya kwanza ya mwaka 2018 hadi uniti 310.8...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Oy niaje Wana. JF Nimeona post nyingi kuusu. AdSense kua banned kwa upeo wangu mdogo 😁😁 Na vitu viwili vitatu. Nilivo Google nimegundua. Kwamba ukiachana na organic traffic. Kua nzur na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
[http://img2] Kampuni ya Apple imepoteza Tsh 21 Trilioni ($9bn) katika soko la hisa, saa moja baada ya Jony Ive aliyehusika katika ubunifu wa takribani bidhaa zote za Apple, kutangaza kuondoka...
9 Reactions
16 Replies
3K Views
I have been Rooting my Tecno Camon CX with Android 7.0 and it was successful. Now I am happy with my device...[emoji39][emoji39][emoji39]
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom