Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
JINSI YA KUBADILISHA LOGO YA WINDOWS 7 na KUWEKA PICHA YAKO pindi tu PALE PC YAKO INAPOANZA KUWAKA au KUZIMA. 1 - Bonyeza WINDOWS KEY + R kufungua CHECK BOX. 2 - Katika hiyo CHECK BOX andika...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Habari za humu wakuu! Naomba kufunzwa namna haya mafile yanavyo funguliwa mpaka kuwa website kabisa, maana nime furukuta nimeshindwa, naomba step by step nielekezwe aise. File lenyewe kama hili...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wafuatao wanatafutwa,wakwanza alijulikana kama Robot na mwingine Kwa jina la Agy wakiwa wamefanya kazi mwaka Jana pale Tuzungumze forums........Popote mtakapoona ujumbe huu mnahitajika Kwa haraka...
0 Reactions
4 Replies
902 Views
JINSI YA KUUNDA TRANSFORMER Uundaji wa transformer si kitu rahisi kutokana na vigezo vinavyo takiwa kufuatwa. Ingawa kwa kufuata utaratibu unao faa utafanya kazi hii iwe nyepesi. Jifunze...
3 Reactions
11 Replies
7K Views
msada mwemye ujuz wa kutumua app ya mtk engineering mode kufaulixha rain isapot .......
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wana jamvi! Kwanza habari za mchana. Thread yangu ni juu ya whatsap kwamba unakuta wanakublock. Kwa wale wataalamu embu tusaidieni!
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, samahani naulizia app ambayo ni nzuri kutumia kwa ajili ya video call mbali na whatsapp na vibe
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za muda huu wapendwa , Binafsi nashindwa kuelewa nini tatizo manake natumia receiver ya eurostar nimejitahidi kupandisha signal lakini chaneli za mbc zote haziingii ,JE NINI TATIZO?
0 Reactions
3 Replies
790 Views
Poleni wakuu naomba mwenye kujua app nzuri ya kuskan mfano unapiga picha cheti na inaskan yale maandishi kwenye Sim na unaweza tuma kwa njia ya email asanteni
1 Reactions
14 Replies
7K Views
habari wana jf baada ya kuroot simu aina ya tecno m3 na kufanikiwa nilifuta file la com.mediatek kwa baati mbaya Ilikua ukiwasha data kuna apps znajiinstall zenyew na ukizifuta znarud tena afu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rejea kichwa tajwa hapo juu,natafuta mtu anaeuza laptop yoyote ambayo ni convertible au 2 in 1,kwa maana inaweza kutumika katika mode zote either tablet mode au pc mode. Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, naomba msaada kupata channel za dubai one mbc action frequency zake na uelekeo wa dish.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina CCTV cameras 11 ,nimeunganisha kwenye DVR ya chaneli 16.Tatizo camera sizioni zote kwenye screen,Kuna muda mwingine zinaonekana 7 Hadi 10.Je tatizo ni Nini wakuu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu Me ni mmoja wa watumiaji wa mtandao wa halotel Tanzania Lakini katika uchunguzi wangu nimegundua nikiwa natumia data simu inachemka sana tofauti na mitandao mingine kama Tigo nk Je...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ur help plz, for anyhow i can access the free licence key offered for fifa 19, otherwise a free link for cracked files
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba elimu ya kufunga tweets za watu ambao cjawafolow.. imekuwa kero kubwa sana kwangu..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF,nina simu yangu naichaji lakini chaji haijai,inaishia % 24.naomba ushauri wenu tafadhari,tatizo ni nini?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Msaada tafadhali hii niliyokua natumia ni GB whatsap.nifanyeje na un-official whatsapp kwangu ndio mpango mzima
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom