Naombeni msaada wana JF coz file zangu pamoja na documents zote kwenye loptop yangu zimekua converted to VLC na hata ukiforce kwenda word or PDF hazifunguki..please Naombeni msaada.
When you stay in a hotel, how do you know there is no room secret pinhole camera? When you travel to an unfamiliar destination or take a business trip, you stay at a hotel, but you do not know...
Wadau namiliki Samsung mini table 3 mwaka wa tatu sasa. Juzi baada ya kuchomeka chaji ikajizima ila iliendelea kuchaji.
Toka siku hiyo imebadili namna ya kuchaji nikitaka kuchaji lazima ijizime...
Naomba msaada kwa anayefahamu simu yangu aina ya Alcatel One Touch ina tatizo moja, ukiweka data on inafanya kazi ila ukiset 3G, network inakata kabisa.. naombeni msaada kwa anayefahamu namna ya...
Guys nilifanya factory reset ya cm yang camon cx lakini baada ya apo instagram, YouTube na watsap zmeacha kutoa saut japokuwa ukiweka earphone saut inasikika na calls za kawaida pia saut inasikia...
Msaada wenu jamani, nina laptop yangu inagoma window ikifika nusu karibu na mwisho, nimepiga window 7 na window 8 zote zikifika nusu zinakataa, laptop yangu ni lenovo, ram Ģb 2, na HDD ni GB 500...
Jana nimenunua line ya TTCL, Hata hivyo kila nikiweka kwenye simu inaondoa function ya hotspot halafu naikuta kwenye mobile data ila haifanyi kazi naambiwa “To enable personal hotspot on this...
habari zenu wakuu; nilikuwa najisajili na huduma ya kupurchase online kwenye crdbbank.com baada ya nunitumia taarifa kuwa card yangu imewezeshwa kwenye kujisajili nikakuta sehemu ya kujaza...
Wakuu jana nilinunua king'amuzi cha TING, nimejaribu kuki-set lakini napata vizuri station moja tu: ATN, nyingine mbili tatu za nje ziko kwenye mnato tu. Kama kuna mwana JF anayetumia king'amuzi...
Wakuu naombeni msaada wenu, simu yangu aina ya xiaomi Mi A2 lite kila nikijaribu kudownload app kutoka playstore au nikijaribu kuupdate app inaniambia kuwa download is pending. Hata hivyo simu...
Hello,
Naomba mnisaidie namna ya kucontrol data usage, yamenifika hapa. Kama siku tano hivi nilijiunga kifurushi chenye GB 1.5 jana zikawa zimeisha, nikashangaa sana nikasema anyway labda kuna...
WanaJF, Hivi hapa kwetu Tanzania kuna Air conditioner (AC) zenye kutoa upepo wa moto badala ya baridi! Huku niliko baridi imeanza kupiga! Msaada tafadhali
Habari ya muda huu wanajanvi?
Naitaji mwenye kufahamu application halisi ya truecaller inayo sifika kuwa na uwezo wa kutambua jina la mpigaji ambae huna namba zake. Kwa maana application hii...
Kamati ya bunge la Marekani imeitaka kampuni ya facebook kusitisha mpango wake wa kuanzisha sarafu yake ya kidigitali LIBRA mpaka pale itakapotoa idhini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.