Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu.Nina TV ni smart aina ya TCL sasa shida iliyopo haioneshi channels nyingi kama ilivyo kwa smart tv zingine.Inakamata channels za ndani tu tena sio zote ni baadhi tu.Antena nime...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni msaada hiyo ni picha ya king'amuzi chenyewe
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Wadau na mafundi wa kuingiza frequence kwenye ving'amuzi naombeni msaada. Mimi natumia king'amuzi cha zuku lakini frequence za kampuni nyingine hivyo basi ni mwezi karibia unaisha sioni chochote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
PC : PERSONAL COMPUTER CPU : CENTRAL PROCESSING UNIT OS : OPERATING SYSTEM UPS : UNINTERRUPTIBLE POWER SUPPLY RAM : RANDOM-ACCESS MEMORY ROM : READ-ONLY MEMORY LCD : LIQUID CRYSTAL DISPLAY LED ...
1 Reactions
1 Replies
825 Views
Afya ni kitu cha msingi sana kwani kuwa na afya njema ndipo kunatupa nafasi ya kuendelea kuishi na kuendelea kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia. Kuliona hili leo nimeona nikuletee makala...
0 Reactions
3 Replies
40K Views
Ninatoa Ofa kwa watu watano wenye moderm , zinazohitaji code .. wekeni model zenu na imei .. hapa hapa ndani ya dakika kadhaa
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, ipi ni wapbuilder nzuri kwa kutengeneza wap site? Nimetumia wapkiz, wapelf, waptal, wapkah, wapsing, topka, wapkw n.k lakini zote zinamatatizo nimeamua kuachana nazo, lengo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Husika na kichwa tajwa hapo juu Nimekuwa ''nikiinjoi'' hii wasap isiyo halali kwa muda kidogo, lakini tatizo hunishinda kwenye kui-upadate yaani nikijaribu nashindwa kabisa Mara matangazo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndugu wadau, Heri ya mwaka mpya?, na tupeane pole kwa kukosa JF katika wakati mahsusi wa mwaka mpya. Kama title yangu inavyosema, bninaomba msaada kwa anayefahamu anipe maelekezo ya mambo...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu. Naomba msaada wa gharama za makadirio za kutengeza website kama ya Jamiiforum na gharama kadirishi za kutengeneza app kama ya JF. Je wanapataje kipato ukitoa matangazo na user...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari wana jamvi, ninataka kuanzisha platform tuelekezane masuala ya kielectronic practical wise, hii inajumuisha ku design circuit pamoja na softwares zinazohusika. So kama kuna wapo interested...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
San Francisco(CNN Business) 5G, the next generation of ultra-fast wireless, is now available in the US. But the catch is you'll need to be in the right city with the right device to access it...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za asubhi wajuvi, nitumia sony xperial z2 nashindwa jinsi ya kuapdate toka android 6 kwenda android 9. Masada kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya jambo hili tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
920 Views
Natafuta web and applications developers ambao wana uzoefu. Kwa wale ambao wapo interested; Wasiliana nami kwa +255766640505
0 Reactions
1 Replies
668 Views
Naomba application ambayo naweza kuretrive sms za whatsap zilizofutwa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Simba kama imewabana waandishi wa habari za michezo Habari wakuu, Tumeshuhudia club ya simba sio tu kuwasajili wachezaji, maana kuongeza usajili Tayari ila hakuna ushahidi wa picha. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada. Natumia Samsung Note 4 tatizo Betri inavimba. Shida Ni nini? Nimebadili Betri mara 3 tatizo linajirudia.
0 Reactions
29 Replies
6K Views
wakuu habari zenu msaada kuhusu camera kwenye itel yangu kila nikitaka kupiga inakataa inaleta neno cant connect to the camera,please check whether other application running in backgroung using...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana Jf naombeni msaada wa kujua betri zipi bora za Samsung Note 4 zinazouzwa?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Solved
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Back
Top Bottom