Katika kuonesha kweli Huawei imejidhatiti, Huawei imewahaidi wateja wake kuwa simu janja zao mpya zitaanza kupata OS yao,yaani mfumo endeshi wao kuanzia msimu wa mapukutiko, yaani Autumn.
Sio...
Habari wadau, Nimejaribu kufanya rooting ya tecno K7 lkn anaona inafeli. Naombeni msaada nifanye nn au nitumie app ipi maana simu yangu imekuwa kero kwan kila wakati application zinastop...
July 05, 2016
The biggest space event of the year is happening soon. On July 4, NASA’s un-crewed Juno spacecraft will end its nearly five-year journey through space and embark on a mission to...
Habari za muda huu...
Nimekuwa nikibadilisha badilisha sana baadhi ya simu kutokana na mapungufu niyakutayo ndani ya simu baada ya kuzinunua na nilikiwa siwezi kukaa na simu zaidi ya miezi...
Nafurahi kuona vija wengi wa kitanzania wanajikita katika suala zima la mambo ya cybersecurity, kwani ndo ulimwengu tunao ishi sasa.
From leader and C.E.O @ TaNzAnIaN-HaCkErS.!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo.
Kuna Namba Nahitaji kujua ipo mko gani au wapi, mana napiga haipokelewi toka juzi.
Note:
sio mke wala mpenzi
Natanguliza Shkrani
Hivi karibuni,Dark mode imekua enabled kwenye recently update ya google chrome sio tu kweny PC hata kwenye Android.
Hivyo unaweza enjoy device yako wakati wa usiku pasipo ku enable night mode...
Wakuu habari
Nime uninstall uc browser bahat mbaya limefutika na data zote hasa nyimbo zangu zaidi ya 2gb nlizodawnload kupitia hiyo browser
Naombeni msaada kwa alie mwanza anaeweza nisaidia...
Dunia ya leo usipokua mjanja na mpekuzi utageuzwa mtaji na wenzako kila siku, Matapeli wameongezeka, wezi wamejaa, watu wenye kila aina ya mbinu za ulaghai n.k n.k.
Katika Maisha nilishawahi...
Habari za majukumu wakuu.
Ninatumia Samsung J7 (2016) ambayo imekuwa ikinisumbua kwa hili tatizo la sreen overlay detected na change permission settings.
Hiki kitu kinanizuia hata kudownload...
Habari za wakati huu wadau
Siku za nyuma kidogo TCRA walianzisha mfumo ambao unakuwezesha kutuma imei namba kwa sms ya kawaida kwenda 15090 kisha wao hukujibu kwa kukutajia model ya simu yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.