Habari wadau wa JF. Nina Laptop ambayo ina matatizo ya kioo ambacho kimepasuka na kuvujia wino.
Model ya Laptop ni 15-ac130nia aina ya HP. Ukubwa wa kioo ni 15.6 Inches.
Yeyote mwenye nacho au...
Wazee wa Utest hii hapa official kabisa kwa Tanzania tumia link hii
https://testerwork.com/tanzania/fbc222-tanzania/
Na msije mkadhani nafanya affiliation hapana kama unaweza tafuta Google...
Wakuu msaada,
Samsung j5 model no. SM-J5008 mpya kabisa nikiweka line inasema ‘mobile network unavailable’ . Yeyote mwenye kujua jinsi ya kutatua tatizo hilo, au ambae anafahamu anaeweza kutatua...
Wakuu za mida, naomba mwenye kujua app inayoweza kutunza taarifa zote za simu zinazofutwa kwa mfano sms, call history, video na audio, Naomba anisaidia hiyo app.
Habari zenu wanajamvi!
Natumai wote ni wazima,
straight to the point, simu yangu ya tecno L8 Plus imezima toka juzi na nilipo jaribu kuiweka kwenye chaji iliandika "erro!please plug out the...
Nimesahau password yangu ya FB nikajaribu kwenda kwenye forgotten password wakanambia watatuma code za password kwenye no niliyojiunga nayo FB lakini hiyo no nilishapoteza siku nyingi.
Je ni...
habari wanajf kuna hizi nafasi za andela ambazo huwa zinatoka kila mwaka ambapo mtu akiipata huwa anakuwa enroled kwenye andela learning comunity
baada ya miezi sita wanaofanya vizuri huwa...
Jamani wenye uelewa zaidi yangu naombeni kujua ikiwa hiyo satellite tajwa hapo juu Yaani Nilesat 201@7°w ambayo ina FTA za kutosha kuna ambaye anaipata kwa Tanzania, Ikiwa yupo aniambie aipata...
kwa bahati ndugu zangu leo nimebahatika ku attach picha ya setup ya NILESAT,SES 5,AMOS 5,katika dish ya ft 6, hiyo lnb ya rangi ya silver ya prime focus ku band ndo nnayopatia channel za nilesat...
Imekuwa muda mrefu sana radio yangu ikiandika hvo “push power” na “protetctor” na ikiandika hvo inakata kbxa sauti, nin tatzo wadau naomba anaefahamu anijuze tafadhali.
Nmeweka hapa...
Habari wakuu
Nahitaji mtu wa kunifundisha kwa week 1 tu, adroid app programing by using android studio.
Nimeshajifunza mwenyewe hii android studio shida kunabaadhi ya vitu ningepata ufafanuz...
Ukipata Ban Futa Official whatssap ya kutoka playstore, then install Gb whatssap na Yo whatssap .au install moja kati ya hizi mambo hayatasumbua niliwahi kula BAN lakini toka nimetumia ujanja huu...
Ninafikiria kununua flat screem tv lakini watu wanasema zina matatizo sana kulinganisha na tv za kawaida-yaani zile za chogo( cathode ray tubes)
Madai haya yakanifanya nifanye utafiti kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.