Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

MAWASILIANO YA SATELAITI Satelaiti ni nini? Ni mwezi (moon), sayari (planet) au mashine inayozunguka sayari au nyota. Satelaiti ya kwanza kutengenezwa na binadamu, kupelekwa angani na kuwekwa...
16 Reactions
145 Replies
39K Views
In a world where technology continues to evolve at a rapid pace, Samsung contintues to be at the forefront with the roll out of Galaxy AI now in more device range. This innovation is a...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
W*f Haya sasa baada ya mda mrefu wa ban kwa matumizi ya GPT respond kujibu maswali stackoverflow.com, leo stackoverflow wameamua kutoa API / Datasets kwenda openAI na kuzidi ku improve LLM...
0 Reactions
1 Replies
273 Views
Wakuu uwezekano wa ku bypass iphone 13 upo? Inawezekana na kama inawezekana ni kama vile tunavyofanya zile nyingine?
0 Reactions
3 Replies
464 Views
Ukijifunza mkakati huu Itakuwa sio lazima u post kila siku biashara yako, ni mara moja tu , na ndio muda sahihi wa kulipia tangazo lako yaan sponsored ad ambayo inaweza kukupa matokeo...
1 Reactions
0 Replies
197 Views
Msaada kwa mtu anaye jua software au njia ya kufanya connection kati ya reporter anaye taka kurusha matangazo live from field to ONAIR studio... Equipment alizo nazo field: 1.pc 2.soundcard...
0 Reactions
1 Replies
219 Views
Wadau hakika kipa umbele ni simu inayodumu sana na Chaji. Nisaidieni kupata simu hiyo hata kama ni Refurbished kwa maximum budget ya 1.1 TZS Million. Inatakiwa kama ni Samsung iwe at least S10+ na...
4 Reactions
54 Replies
10K Views
wadau mnaopenda kutumia technology mimi ni mpenzi sana wa Technology. Nlikuwa na VR moja mwaka 2019 akaja mtu akaomba na amekuwa mgumu kurudisha nimeona tu nitafute nyingine. Ile ya kwanza...
0 Reactions
6 Replies
555 Views
Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks. Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamii forum nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano. Naomba anaejua app inayoconvert docment iliyopigwa kama picha au pdf kuipeleka kwenye word. Ambayo ni ya bure hailipiwi
0 Reactions
8 Replies
679 Views
router za dukani ni gharama kubwa sana almost laki na kitu. Router za mitandao ya simu huwa wanauza kwa hasara ama bila faida wanategemea mteja utafidia kwenye vifurushi. Ni mtandao upi wa simu...
0 Reactions
2 Replies
470 Views
Wataalam habari ya majukumu. When i want to download pdf, word and excel files i get the pop up message "WhatsApp download failed. Please try again later". Nimetafuta na kujaribu tutorial youtube...
0 Reactions
5 Replies
642 Views
Ujio wa 6G tutegemee nini hasa huku Africa, au tuendelee na matumizi yaleyale kama ya 4G?
0 Reactions
3 Replies
438 Views
Faida ya hizi Radiocalls : 1.Hakuna haja kuwekeza kwenye Towers /Minara, Antennas,Base stations, Repeaters. Hivyo Initial investments ni Zero. 2.Hakuna limitation ya umbali /Coverage sababu...
0 Reactions
19 Replies
425 Views
Kampuni kongwe ya magame ulimwenguni Rockstar Games imesema Muda sio mrefu wataanza kutoa matangazo mbalimbali kuhusu game mpya ya Gta 6 ambayo inaitwa Grand theft Auto Franchise desemba hii...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Kati ya hizi simu ipi itafaa Nokia G20_128gb 6 ram Vivo v20_ 128 GB 6 ram Redmi pocco X3 _128GB 6 ram Redmi note 12 5g_ 128gb 6 ram N.B zote nimeangalia features zake zaidi ipi iko vizuri...
0 Reactions
10 Replies
448 Views
wakuu kichwa cha habari kinajielza njooni mnipe program za kuflash simu nipo kijijini nijitafutie hela ya vocha hapa maana kuna changamto ya kuflash simu NAWASILISHA
6 Reactions
9 Replies
551 Views
Wabongo wengi tunapenda sana vya bure kwenye ulimwengu wa kidijitali, ni mwendo wa kudownload muvi / games / series / miziki / vitabu / software / window , n.k. nakumbuka hata nikiwa chuoni...
4 Reactions
6 Replies
546 Views
Salaam, Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite) Imenifikia tyr lakini laini hazisomi, wataalamu shida ni nn Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU)
1 Reactions
9 Replies
567 Views
Back
Top Bottom