Nimeona jamaa hawa wanatangaza internet yao ya satellite kwa 60k kwa mwezi. Huko nyuma nomewahi sikia kwamba internet ya satelilite huwa slow sana ukifananisha na ya cable/minara.
Pia naona...
Habari za muda wazee Hivi Hapa dar es salaam maeneo ya Gongolamboto Mpaka Huku Banana Kuna Sehemu yeyote Kuna internet Cafe Nakama ipo Kushusha file nzito almost Gb 20-30 wanachaji kiasi gani...
Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
PaLM 2 (Pathways Language Model 2) is Google's latest and most advanced large language model (LLM). It builds upon the success of its predecessor, PaLM, and introduces significant improvements in...
Habari wanajamvi,
Leo nimepokea ujumbe kutoka Vodacom uwa internet nchini Tanzania imeanza kutangamaa. Juzi, tumekatikiwa mtandao. Najua watu kadhaa waliongeza bundle kwa hofu kuwa wameishiwa...
Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki.
Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe?
Akitokea kichaa mmoja tu...
Habari,
Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli...
Wakuu habari zenu,
King'amuzi changu cha Azam TV kinaandika neno App baada ya kukiwasha halafu hakionyeshi chochote, ila mwanzo kwenye TV huwa linaanza kuja neno Azam TV halafu mwishowe kwenye...
Yaan nimeduwaa sijaelewa una maanisha nini, sawa wewe umeijenga website kwa ajili ya desktop sawa sijakataa nakubariana na wewe lakini je huo muonekano wake UI umeangalia kwenye simu zetu hizi za...
Sony,
Lg,
Smart watch za Android…
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa zitumiazo android OS
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Natumia simu brand ni
oppo a 31 , Leo nipo job imegoma Ku connect WiFi sijajua shida nini wenzangu simu zao wanatumia saf mmoja ana oppo A8 lakini yangu ni big no ukiwasha ina connect then...
Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji
vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa...
Habari zenu wanajamvi! Natumai mnaendelea salama na majukumu yenu.
Jana ilikua ni siku ya kukumbukwa kwa kile kinachodhaniwa ni siri kubwa ya mambo ya Anga kutokana na kupotea kwa ndege ya...
Maeneo ya kazini huwa kuna madogo wa chuoni hapa nafahamiana nao wakiniletea kazi za viti, vitanda, meza, n.k.
Sasa mwezi uliopita kwenye pirika pirika za vyuo kufungua katika story za hapa na...
To automatically remove duplicate words:
Enter (<*>) (\1) in the “Find what” box.
Then; enter \1 in the “Replace with” box.
Then;
Click the “Replace All” button.
To automatically remove...
Flash inawaka ila nikiichomeka kwenye PC inalazimisha niifomat.
Ila notification inasema tap to fix na signal ya flash inawaka ,hii wadau inaweza kupona na DATA zikaendelea kubaki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.