Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Mambo vipi wadau wa Jf habari za mida hii, naomba mnisaidie kidogo hapa mwenye kujua kidogo kuna simu ilikuwa vizuri tu ila baada ya kuona inagoma goma infinix SMART 7 HD Nika restart, Imekuja...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Naomba msaada simu yangu aquos sense 5g natumia laini ya voda NI week sasa nimtumia mtu SMS may be Habari! Kule nakotuma SMS zinaenda zinaenda zaidi ya 5 Yani inakuwa kama hivi Habari Habari...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari, samahani nina shida ni hivi nilikuwa natumia iphone ila badae ikanizingua ikafa jumla, nikapoteza kila kitu, sasa nimenunua Android. ila nataka nirudishe kila kitu changu from...
0 Reactions
10 Replies
575 Views
TIGO POST PAID: 15 GB kwa 15,000 35 GB kwa 35,000 48 GB kwa 40,000 72 GB kwa 60,000 120 GB kwa 100,000 Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa...
16 Reactions
48 Replies
6K Views
Jamani, simu yangu inatumia sana bandle la internet. Je, nifanye njia ipi kupata bundle kwa bei nafuu kwani nataka kuanza kusoma kwa kutumia online mecahnisns. Hivi wale wa internate cafe mbona...
0 Reactions
20 Replies
970 Views
Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu... Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshindwa kuupata...
12 Reactions
358 Replies
222K Views
Mwenye access ya kunisaidia kunifanikishia kujiunga na huduma za post paid ya mtandao wa simu wowote ule naomba tuwasiliane PM. Longolongo za fika tigo shop, Voda shop, Airtel shop sijui...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Ndugu naomba msaada wa jinsi ya kujisajili kwenye mtandao X(Twitter) kila nikijaribu kujisajili inagoma,asante.
0 Reactions
3 Replies
429 Views
Wadau nilinunua hii simu kwa mtu ambaye aliuziwa na mtu na yeye alisema usiirestore itajifunga Mimi mbishi nikatumia itunes nika iupdate kisha nikairestore hapo ndo kasheshe simu ikajifunga...
0 Reactions
13 Replies
685 Views
Habari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji Kujua Kama kuna namna ya kuset ili Kujua mtu aliyejaribu kukupigia wakati haupo hewani kwenye mtandao wa tigo
0 Reactions
3 Replies
575 Views
Wadau salamu kwenu. Naomba ufafanuzi kwa wanaojua; Natumia SAMSUNG A52 na Samsung A3 core. Kuna nyakati simu imetulia tu huitumii unaona inatoa pop-up notification kwamba "Sending sms"! Hii...
2 Reactions
11 Replies
906 Views
Habari wanaJamiiForums Karibu kwenye uzi wetu mpya unaolenga kila kitu kuhusu Digital Marketing! Katika enzi ya kisasa ya kidijitali, kuelewa wa uuzaji wa kidijitali ni muhimu kwa biashara...
3 Reactions
8 Replies
512 Views
Wakuu samahani, Ni Mara yangu ya kwanza ku install Windows, nimeweza ku download na ku created bootable flash drive. Sasa kwenye ku install Windows imegoma inaniletea notification Kama...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ukitizama ulimwengu utajua hakuna kinachodumu milele duniani Kuna vitu vitakuja na kuondoka Walipotoka Apple sijui niseme kuzuri au lah [emoji3] ngoja niwaache kama walivyo ila wanapokuja ni...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Baada ya kujishauri nichukue Aina IPi ya radio Kati ya Anker na JBL Nikaona wacha nivute JBL ni unyama mno Basi majuzi nikaingia mjini kununua redio brand za JBL Hawa jamaa redio zao zinapiga...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Katika kutatua changamoto ya utunzaji wa "Data" na utengeneaji wa "Taarifa(Reports)" mbalimbali katika uendeshaji wa shughuli za kila siku shuleni, kutana na mfumo wa kidigitali unaofahamika kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wasalaam, Napenda kujifunza kutengeneza animation za cartoon huwa ninakuwa na ideas za scripts nyingi sana Ila sina sehemu za kuziwasilisha kama inavyotakiwa naomba wenye ujuzi na hizi animated...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Kila nikijaribu ku - install app ambazo sio za play store zinakataa na nakutana na huo ujumbe , naomba namna ya kufanya, mf. Snaptube, you tube go nk
0 Reactions
8 Replies
279 Views
Wataalam, nisaidieni hapa namna ya kuset premium message,, maana naona nakosaga hivi vihela vya vocha.. Hizi message zinaingiaga kwenye Simu yangu mara kwa mara
2 Reactions
3 Replies
228 Views
Back
Top Bottom