Wajuzi msaada.
Nimepakua WhatsApp lakini mtandao unagoma ku-verify.
Nimeshindwa kupata verification code kwa sms wala kwa call.
Msaada! Mbinu mbadala.
Tunakosa hela jamani!
Hello bosses,
Kuna kitu kimenikaa sana ngoja nikiseme. Unajua developers wengi wa kiafrica ninaowafahamu wananishangaza sana hasa hasa kwenye upande wa javascript.
Mtu unakimbilia kujifunza...
Wadau wiki mbili zilizopita, dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua China plaza.
Walipompeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla...
Watu wengi Wamekuwa wanataman kutengeneza pesa online na hawajui ipi njia bora na nzuri zaidi, kwanza toka hii kitu akilini mwako kwamba ukianza kitu after 5-7 days unaweza toboa kwa hiyo kitu...
TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu...
Habari za mei mosi wakuu
Leo nimefungua simu nikakuta contacts zangu zilizokuwa kwenye email zimepungua kutoka 2000+ mpaka 12 contacts.
Naomba muongozo wa namna ya kurudisha contacts hizo
simu...
Habari Wana jamii,,nimeamua kuanzisha hii thread Ili kuelezea experience yangu na TTCL Fiber Ili iwe faida Kwa wengine wanaotaka kufahamu ..
Nitaelezea ufanisi wake kulingana na matumizi ya mtu...
In a world where technology evolves at an unprecedented pace, choosing the right Smart TV can be a daunting task. With a plethora of options available, each boasting a range of features, it's...
Habari Ndugu???
Hii ni kwa wale ambao wanapenda kujifunza hacking kama Hupendi Na Huhitaji hebu pita Mbali usiache uchawa hapa.
ZIFUATAZO NI TOP 10 YA MOVIES AMBAZO ZINAONYESHA SUALA ZIMA LA...
Simu za Sony mnazionqje wakuu haswa Sony experia 1 mark ii, mark iii na mark iv kwenye performance camera na zinapatikana wapi kwa bei gani haswa haswa mark ii na mark iii
Heshima kwenu na Kheri ya mwaka mpya 2023!
Toka nikiwa primary nimevutiwa sana na kumiliki RADIO and TV stations kutoka na ukweli kwamba napenda sana journalism na social media kiujumla.
Baada...
Habari wadau.
Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo?
Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo.
Bei za...
Salamuu wakuu,
Naomba kujuzwa ni namna gani naweza viweka vitu vyangu kwenyee email yangu kwa mfano contracts pamoja na pichaa zangu
Naomba kuwasilisha kwa anaejuaaa wakuu msaada wenu...
Msaada wakuu
Simu yangu ni huawei ni used from china
Simu ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini
Msaada jamani tangu...
Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote
Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.