Habari wakuu.
Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo.
Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu...
Nimedownload apps nyingi nyingi kdg ambazo zimetengenezwa na developers wa tanzania, wengi naona wanadevelop for android, nahisi labda market kubwa iko huko bongo, iOS wameisahau kabisaa!!
Swali...
Naulizia kama kuna mtu anajua kudevelop system na kuunganisha na internet of things pia iweze kifanya intergration arduino
Nicheki kazi ni very ugently awepo dar es salaam ili kuepusha usumbufu...
Hello world...
Kwenye dunia ya technology hasa hasa computer programming chaguo sahihi la technologies za kutumia ili kutatua tatizo au kutengeneza kitu fln ni muhimu sana.
Kufanya chaguo hilo...
Wakuu mimi ni beginner kwenye hizo mambo za app development, nilipanga kujifunza app development, ila nikapata ushauri nijifunze web development (Front end) kwanza, nina endelea nayo, kwa sasa...
Mzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo...
Hello bosses and roses...
Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo.
Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites...
Mmeamkaje wandugu naomba kufahamu jinsi ya kuupdate gbwhatsapp maana kila nikitaka kuupdate nashindwa kutokana na lugha ya kiarabu maana sina raha kila nikifungua whatsapp notification inakuja...
Salaam..
Kuna hizi Apps mbili 1.JIJI 2.Zoom Tanzania amabazo ni platforms za kuconnect wateja na wauzaji wa bidhaa mtandaoni Kwa hapa Tanzania,naomba kujua from the scratch mpaka zinaanza...
Download TIGO PESA APP (play store au app store ) jisajili utapokea 1GB ,
Kama tayari app unayo log out then hakikisha iko updated then log in again utapata 1GB
Ndugu zangu habari za muda huu?
Naomba niende moja kwa moja kweenye mada. simu yangu ya sammsung a30 imeanguka na kuharibika kioo yaani display.
Kwa sasa simu imevujia wino na kioo ni cheusi...
Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu.
Leo nitaelezea njia rahisi ya...
Wakuu miaka michache iliyopita huko niliwahi pata idea kazaa ya biashara kuhusu teknolojia, sanyansi na Sanaa. Hivyo nimeamua kuchukua hatua Kwa kuanza na teknolojia ni simple idea lakini naona...
Habari wanajamvi,
Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB
Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi...
Wakuu kwema? I hope mko poa
Nina 400,000/= hapa nahitaji kununua PC, ningependa mnishauri kwa budget hii
- Napata Laptop MPYA yenye uwezo gani? na wapi naweza kuipata?
- Napata laptop USED...
Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa
hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia...
Aliewahi kutumia Samsung a15 au anaeijua utendaji kazi wake anipe muongozo nataka niinunue, masuala ya camera siangalii sana Mimi naangalia speed na isiwe inaganda au kupata moto
Simu inaonekana...
Habari wakuu, nilisave picha zangu kwenye locked folder la google photo, cha ajabu lile folder limefutika na halina picha hata moja.
Je, kuna uwezekano wa kuzipata?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.