MAWASILIANO YA SATELAITI
Satelaiti ni nini?
Ni mwezi (moon), sayari (planet) au mashine inayozunguka sayari au nyota.
Satelaiti ya kwanza kutengenezwa na binadamu, kupelekwa angani na kuwekwa...
In a world where technology continues to evolve at a rapid pace, Samsung contintues to be at the forefront with the roll out of Galaxy AI now in more device range. This innovation is a...
W*f
Haya sasa baada ya mda mrefu wa ban kwa matumizi ya GPT respond kujibu maswali stackoverflow.com, leo stackoverflow wameamua kutoa API / Datasets kwenda openAI na kuzidi ku improve LLM...
Ukijifunza mkakati huu Itakuwa sio lazima u post kila siku biashara yako, ni mara moja tu , na ndio muda sahihi wa kulipia tangazo lako yaan sponsored ad ambayo inaweza kukupa matokeo...
Msaada kwa mtu anaye jua software au njia ya kufanya connection kati ya reporter anaye taka kurusha matangazo live from field to ONAIR studio...
Equipment alizo nazo field:
1.pc
2.soundcard...
Wadau hakika kipa umbele ni simu inayodumu sana na Chaji. Nisaidieni kupata simu hiyo hata kama ni Refurbished kwa maximum budget ya 1.1 TZS Million. Inatakiwa kama ni Samsung iwe at least S10+ na...
wadau mnaopenda kutumia technology mimi ni mpenzi sana wa Technology. Nlikuwa na VR moja mwaka 2019 akaja mtu akaomba na amekuwa mgumu kurudisha nimeona tu nitafute nyingine.
Ile ya kwanza...
Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks.
Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow...
Wanajamii forum nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano. Naomba anaejua app inayoconvert docment iliyopigwa kama picha au pdf kuipeleka kwenye word. Ambayo ni ya bure hailipiwi
router za dukani ni gharama kubwa sana almost laki na kitu.
Router za mitandao ya simu huwa wanauza kwa hasara ama bila faida wanategemea mteja utafidia kwenye vifurushi.
Ni mtandao upi wa simu...
Wataalam habari ya majukumu.
When i want to download pdf, word and excel files i get the pop up message "WhatsApp download failed. Please try again later".
Nimetafuta na kujaribu tutorial youtube...
Faida ya hizi Radiocalls :
1.Hakuna haja kuwekeza kwenye Towers /Minara, Antennas,Base stations, Repeaters. Hivyo Initial investments ni Zero.
2.Hakuna limitation ya umbali /Coverage sababu...
Kampuni kongwe ya magame ulimwenguni Rockstar Games imesema Muda sio mrefu wataanza kutoa matangazo mbalimbali kuhusu game mpya ya Gta 6 ambayo inaitwa Grand theft Auto Franchise desemba hii...
Kati ya hizi simu ipi itafaa
Nokia G20_128gb 6 ram
Vivo v20_ 128 GB 6 ram
Redmi pocco X3 _128GB 6 ram
Redmi note 12 5g_ 128gb 6 ram
N.B zote nimeangalia features zake zaidi ipi iko vizuri...
wakuu kichwa cha habari kinajielza njooni mnipe program za kuflash simu nipo kijijini nijitafutie hela ya vocha hapa maana kuna changamto ya kuflash simu
NAWASILISHA
Wabongo wengi tunapenda sana vya bure kwenye ulimwengu wa kidijitali, ni mwendo wa kudownload muvi / games / series / miziki / vitabu / software / window , n.k. nakumbuka hata nikiwa chuoni...
Salaam,
Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite)
Imenifikia tyr lakini laini hazisomi, wataalamu shida ni nn
Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU)