Wakuu naombeni msaada
Weekend hii nataka ninunue PC
Nina laki tano mfukoni
Je kwa laki tano bidhaa gani bora nitapata kati ya HP au dell
Msaada wenu Tafadhali
Nimenunua simu samsung J5, ina wiki mbili sasa. Tangu nimeanza kuitumia sikuwahi kuisikia ikipata moto. Apps nilizoinstall ni goal.com betting apps na jf. Juzi kati nikainstall untvirus...
Habarini za saa hii wakubwa naomba msaada kama kuna mtu anaezijua network ID za ttcl maana tangu nimejiunga na kifurushi Cha mwezi data tupu mtandao hua unashuka sana na muda mwengine laini...
Amani ya MUNGU iwe nanyi nyote.
Sina uzoefu sana na masuala ya IT, naamini humu wapo wenye taaluma zao...
Je, naweza kutumia whatsapp kwenye PC? Kama ndiyo inakuwaje na inafanyaje kazi?
shukran...
Km heading inavyojieleza hapo juu.Nilifungua email yangu ya yahoo takriban miaka sita au saba iliyopita na lengo hasa la kufungua email kwa wakati huo ni kujiunga na mtandao pendwa wa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, simu yangu "S7 edge" imedondoka na kioo cha mbele kime_crack. Naomba kufahamu kwa Dar wapi kuna mafundi wazuri wakufanya replacement. Natanguliza shukrani...
Naomba kuuliza je hizi IMEI namba zinatumikaje kutafuta simu iliyoibiwa?Maana tulishawahi kupewa taarifa na TCRA kuwa huu wizi wa smartphones muarobaini wake ulishapatikana.
Natanguliza shukrani.
Naomba Msaada Nimekwama Hapa Jinsi Ya Kufanya Simu Yangu Tecno N2 Itumie Lain Zote!
Current Inatumia Laini Ya Tigo
Nishadownload Firmware Yake
+ Sp Flash Tools
+ Android DAB Drivers
Nishajaribu...
Hello wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema
Kuna laptop aina ya Dell Latitude E5420 Yenye intel core i5 2nd 2.3Ghz generation na 1.6 Graphic card Ram GB4 imekuwa na hili tatizo la kuzima...
Wakuu habari za majukumu, mimi nimenunua simu ya Samsung s6 edge nchini China na simu hii haikuja na Google Play, na mabo mengi mfano contacts, useful apps zinapatikana Google Play. Nimejitahidi...
Katika pita pita zangu za kwenye mitandaoni nimekutana na post kwamba TIIS imekuwa hacked, Watu waliohack wameweka ujumbe kwamba wanataka ajira ,,,, Shuhudia mwenyewe www.tiis.go.tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.