Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Timu ya wataalam wa teknolojia wa Samsung Adanced Institute of Technology (SAIT) kwa kushirikiana na wataalam toka Seoul National University's School of Chemical and Biological Engineering...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari, Natafuta console za Video Game za zamani zinazotumia Cartridge kama vilr Nintendo 64, Sega Genesis au Sega Mega Drive 2. Hata kama una Game Boy Nintendo njoo PM tafadhali tuongee...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Kama kichwa hapo juu, naomba nitoe somo kidgo kuhusu namna ya kurudisha au kutoa documents zako zilizofichwa na virus kwenye frash yako,. ni rahis sana na haitakugharimu kitu chochote ,fuata...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello guys. leo tuangalie ni jinsi gani ya kubadili jina la face book zaidi ya mara moja ndani ya siku walizoziweka wao. Usipoelewa vizuri unaweza pitia HAPA kulingana na sheria za facebook...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
MSAADA JINSI YA KUTUMIA NETELLER KATIKA PITAPITA ZANGU MTAANDAONI NIMEKUTANA NA HII NETELLER is an e-money/e-wallet stored-value service owned and operated by publicly traded British global...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Habari zenu? Ndugu zangu mimi napenda sana kuwa mjuzi na mbobezi wa Adobe After effects katika kutengeneza video introduction na video editing pia napenda niwe mjuzi katika Adobe Photoshop C6 ili...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Samsung yafanya majaribio ya teknolojia ya 5G Katika intaneti yenye kasi hivi sasa katika nchi zetu za Afrika ni teknolojia ya 4G na hiki ndio kizazi kinachoonekana kuwa chenye kasi ya intaneti...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi, naomba msaada nijinsi gani naweza kuifanya search engine ije kila baada ya muda kwa njia ya meta tag revist. Asante
1 Reactions
0 Replies
816 Views
Wakuu msaada wa fasta nawezaje kuficha picha za kweny gallery Kuna mtu anapenda Sana simu yangu.. Tueshimiane bwana.. Alaah
0 Reactions
7 Replies
5K Views
ukienda mikoani unakuta kuna watu tofauti wana toa huduma ya cable tv cha ajabu kwenye cable hizo unakuta channel zote za local na zingine mfano supersport na kdhalika kwa bei nafuu mno while...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Nina simu yang apa imegoma kuflashika inadai gmail account na nishasahau nifanyaje Ni tecno w3
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu nisaidien kuscrenshot kwenye laptop
0 Reactions
3 Replies
764 Views
Kuna watu wengi (sana sana wanaotumia windows 10) wamekuwa wakiilalamikia mitandao yao inawafanyia wizi wa mb kwa vifurushi wanavyojiunga pale wanapovitumia kwenye pc zao, Ukweli ni kwamba hii...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
wakuu naomba mnielekeze jinsi ya kufanya unaangalia chanel za startimes bila kulipia kuna jamaa mmoja kaja huku kwetu huku moshi katokea dar anaweza kufanya king'amuzi cha startimes uangalie...
0 Reactions
24 Replies
21K Views
Ni ukwel usioficha kuwa ukuaji wa teknolojia kwa sasa umeathiri maisha ya watu wengi sana kijamii,kiuchumi na kisiasa , Kutoka na maono yangu ya sasa kwa kutumia upeo wangu mdogo I use to call...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwayeyote anaejua jinsi ya kupata internet ya bure.... tusaidianeni jaman
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu poleni na majukum nipo na rafiki yangu kaibiwa simu mbili tecno spark k 7 na w5. Tumeenda polisi chang'ombe wanadai aende kesho, tunawaza ikiwa atauza na kuondoka itakuaje? Please wakuu kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau sory kwa yeyote yule anae fahamu ni jinsi gani publisher anajisajili katika mtandao wa kwanza anielekeze[emoji120] [emoji120]
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umewahi kusikia kuhusu ergonomic keyboards? Ni computer keyboards ambazo, funguo zake zimepangwa kwenye muundo tofauti kitaalam kulingana na mwelekeo wa mwili wa mwanadamu. Kwamba computer...
0 Reactions
6 Replies
708 Views
Sometime kuuliza ni kutaka kujua zaidi,,mi jamani sijui tofauti kati ya C band na KU band kama vipi naomba mnijuze na pia endapo nitatumia Lnb za KU band kipi nitapata chanel zipi na C band...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Back
Top Bottom