Nataka kutengeneza effect ya haraka kwenye mapigano kama ya 300 spartan first battle ambapo niliona jamaa anaruka taratibu alafu anashuka kwa kasi. Kama una tutorial mwaga hapa au toa link lakini...
Wakuu habari za leo,
Nna simu hapa LG K7 ambayo ilikuwa ikitumika USA na 4G ikawa inafanya. Sasa hapa Tanzania pamoja na kukubali kushika network za simu kama kawaida internet inakamata 2G tu kuna...
Photo, Audio na Video (Auto downloaded) kwenye Whatsapp baada ya masaa kama 6 hivi huzikuti kwenye Album ya Whatsapp kwenye Gallery
MSAADA Hapo.[emoji122]
Niende 1kwa1 kwenye mada tajwa juu kama wewe unataka kuangalia Channel za ndani 5 bure Kwa walioko dar nendeni na kadi zenu za ving'amuzi kweny osifi za star times Kwa walioko mikoani nendeni...
Waungwana simu yangu sasa ni kama miezi miwili network ipo down sehemu ambazo simu zingine zinasoma fresh.
Nimeanza kuona shida tangu nilipofanya system update..kwa sasa ninatumia HiOS v2.2.0...
Habari wadau,
Mimi ni mpenzi wa simu za kampuni ya sony . Nilianza na Sony Experia Z2 na sahivi ni meamua kuhamia experia XZ, hii simu ina tumia toleo jipya la android 8 (oreo) ila kilicho...
Habari wana uwanja
Ebana kuna anayeweza kuniashiria program nzuri zaidi ya kutengeneza video lyrics zenye mbwembwe nyingi?
Shukrani nazitanguliza kwanza.
Share nasi basi hizo program.
Wakuu nina simu ilikuwa na shida ya Kusoma line yenyewe inasuport GSM/UMTS/CDMA/LTE.
Sasa naona GSM/UMTS tu ndo inafanya Kazi ila CDMA/LTE ukiselect simu inakosa mtandao yaani no network maanake...
Habari wakuu....
Jamani naombeni kufahamu windows 10 imeshatoka rasmi kwa windows phone?? Maana kila nikiupadte inanambia simu yangu ipo up to date na natumia window 8.1 kwa sasa.
Kingine Ni...
Uwe photographer au sio Photographer, baadhi ya vitu unaweza kuwa ukivihitaji na usijue ni jinsi gani utaweza fanya kwa urahisi.
Hapa tutaangalia ni jinsi gani ya kubadili rangi ya nguo katika...
Habari za jioni wadau wa jukwaa hili,Lengo la kuleta uzi huu nikuzijua changamoto na jinsi tutakavyoweza kuzikabili ili tukiwa tunafanya matangazo tusiwe tunarudia makosa
Binafsi ngoja nizitaje...
Line ya Tigo 4g inajizima data mara tu baada ya kuiwasha na pia inajidisconnect kila baada ya kuiconnect kwenye modem.....na ina bundle la 4gb ambalo nimejiunga jana inabidi litumike ndani ya week...
Habari wadau
kama wewe ni mkazi wa dodoma na una ps3 yako haijalishi ni
-Fat
-slim
-Super slim
tutaweza kukuwekea Games unazozitaka kwenye mashine yako amboyo ipo unlocked pia zile ambazo...
Wakuu naombeni mnipe msaada namna ya kutengeneza blogspot coz nimekuwa nikikaa tu bila kazi na kupoteza mda mwingi kwenye mitandao ya kijamii pasipo faida yoyote.nimekuwa nikipata information...
Kwanza kabisa,ningependa kusema sidharau 'baby walkers' ila sivipendi na nitaweka sababu zangu kwanini sivipendi. Kwa wale wasiojua baby walkers ni zile gari ndogo,maarufu sana miongoni mwa akina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.