Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Husika na mada tajwa hapo juu. Cm yangu inaonesha H+ lkn inashindwa kubrowse internet. Nilishatumia sana settings zote za tigo lkn bado. Nimewapigia mara kadhaa tigo customer service wananitumia...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Natumain mu wazima wa afya kuna mtu nilikua nimemuachia laptop yangu kumbe hajui kuizima na wakati nilipoenda kuichukua nimekutana na tatizo hili BLUE SCREEN Kwa anayejua naomba msaada tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Habari wadau wa mambo ya teknolojia, mimi ni mpenz mkubwa sana wa mambo haya, nimekuja kwenu, nina ombi, nataka kuwa mtengenezaji wa logo, kwani ni kitu ninachokipenda sana. Hivyo ninaomba...
1 Reactions
20 Replies
10K Views
Salaam sana ndugu zangu na hongereni kwa kuendelea kujenga Taifa. Naomba mwenye uwezo wa kuwa na kioo cha MacBook Pro '13 anitafutie na bei ili nibadili cha kwangu ambacho kilipata crack kwa...
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Flash Tools
0 Reactions
2 Replies
871 Views
jamani nimepgiwa cm na p.number,je kunauwezekano wa kumpgia huyu m2?kama kuna maujanja ya kumpgia naomba mnisaidie. Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Habari za jioni wakuu naombeni mnisaidie njia rahisi kutumia niweze kuondoa password kwenye HDD maana nimepewa mwenye nayo pia kasahau sasa nataka niipige window
1 Reactions
56 Replies
10K Views
Habari za majukumu wakuu leo nimeamua kuwaletea facebook code ambayo utatumia kupendezesha maneno unayo post au kukoment . twende pamoja :- nenda moja kwa moja katika facebook yako alafu coment au...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu kuna kitu kinanikanganya sana yaan nimepata kuona simu ya jamaa yangu sumsung j7prime ikiwa imepata update ya 7.0 naugat lakini yangu nashangaa hadi leo haijaniletea simu yangu ina official...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu, sim yangu ni tecno C8 inatatizo ukiwa unasoma thread tena hii ya jamiiforamu mfano unasoma maada harafu unakuwa unaangalia comment, mara inarud kawaida katka screen, non tatizo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wadau wa kisima cha maarifa. Baada ya kupata ujuzi wa namna ya kufungua blog kutoka kwa wadau mbalimbali humu jf nikafanikiwa kufungua blog yangu. Kutokana na kukosa main topic...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nashindwa kuifanya enable simu yangu gps na hata nikiweka on bado kuna apps nikifungua zinasema location is enable[emoji27]
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Amd radeon rx 550 4gb polaris edition is brand new!!! Ina play pc game zote za kisasa GTA V FIFA 18 WITCHER 3 MASS Effect Pia inatumika kwenye software nyingi za kisasa bei 300,000/- kwa...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
amd radeon rx 550 4gb polaris edition
vr ready!!!!
ipo katika condition nzuri bei 300,000/ tzs
ina play
GTA V
FIFA 18
WITCHER 3
MASS EFFECT 0625489620
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Jamani nimeinstall YouTube go ila nikitaka kuplay inagoma inaniambia unfortunately YouTube go has stopped. Tatizo nini eti wataalamu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Za leo Ndugu zangu...... Nimeibiwa sim Jana kuna document na picha ambazo ni muhim kwangu je, nitazipataje na izo picha sijahifadhi kwenye google picture niliweka tu kwenye galary. Aina ya sim ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
amd radeon rx 550 4gb polaris edition vr ready!!!! ipo katika condition nzuri bei 300,000/ tzs ina play GTA V FIFA 18 WITCHER 3 MASS EFFECT 0625489620
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Heshima kwenu jf members, naomba kujuzwa au kufahamishwa Security code za nokia 230 kwa anaezijua anielekeze tafadhali, natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Habari zenu wana I.T, wandugu ninakicmu changu tecno W3 inatatzo kwenye upande wa earphone, nikihitaj kutumia earphone kusikiliza mziki unapiga kwenye earphone na spika ya nje ya simu, msaada wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za mda huu natafuta mtaalamu wa seo ambaye atakayefanya blog yangu ikawa inatokea kwenye search engine iwe page ya kwanza iwe ina shika namba moja au mbili au tatu kwa yeyote yule atakaye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom