Nina simu yangu aina ya Samsung Galaxy A 8 baada ya kusahau password ikabidi niiflash sasa tatizo internal storage inaniambia ni 4GB na iko full siwezi kuintall kitu chochote kile na...
Hadi juzi tuliamini ya kwamba umbali hadi nyota nyingine haupitiki. Basi sasa mgeni wa kwanza kutoa huko amepita katika nyumba yetu - bila kupiga hodi!
Ni kitu chenye urefu wa mita 130 na umbo...
Taasisi ya sayansi ya China yakuza mpunga wa aina mpya wenye urefu wa mita 2.2
Idara ya kilimo katika ukanda wa nusu tropiki ya Taasisi ya sayansi ya China imekuza mpunga wa aina mpya ambao urefu...
Saudi Arabia yaipa roboti uraia
Kwenye mkutano wa mapendekezo ya uwezekaji katika siku zijazo uliofanyika kuanzia tarehe 24 hadi tarehe 26 Oktoba mjini Riyadh, Saudi Arabia, roboti iitwayo...
Njiwa wana uwezo mkubwa wa kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja
Wanasayansi wa Ujerumani wamegundua kuwa njiwa wana uwezo mkubwa wa kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja. Uwezo wao unafanana na...
Jamn mwenye uelewa a google account anisaidie. Kila nikijarbu kijisajili niagoma kunituma verification code toka mwaka juz mpaka jana haijaniruhusu kabisa kutumia hiyo google account kias kwamba...
Habari. Nahitaji kutengenezewa application iwe na uwezo wa kufanya kwenye simu aina zote . Ambayo ni kama library na mtu anaweza download pdf files. Iwe ni ya kulipia kwa baadhi ya vitu na...
Introduction - Free CSS Tutorial
Cascading Style Sheets (CSS) is a fantastic tool to add layout to your websites. It can save you a lot of time and it enables you to design websites in a...
Habari wadau, Nina tatizo fulani hapa kuhusu PC yangu ni HP Compaq Pro dc 6300 Microtower, Ina tatizo muda Fulani inakuwa inaganda! Haileti Screen of Death inaganda tu na kila kitu kinasimama...
Wakuu wa technologia naomba msaada wenu, Naomba atakaye niwezesha kupata apk ya hizi paid apps kwenye google play store
Betting tips HT-FT VIP
SUPERTIPSMAN SPECIAL VIP
EXPERT BETTING TIPS...
Habari ya maisha wanajamii...
Nataka kuicrack app ya Google play store kwa kutumia lucky patcher, lakini naomba kuuliza je kunaweza kuleta matatizo kwenye simu, na kuna ambaye alishawahi fanya...
Habari Wana jamii forum, natumai mu wazma wa afya.
Niende moja kwa moja kwenye kiini,
Nina laptop yangu niliinunua miaka mitatu iliyopita, aina ya HP, ilikuwa nzima na haikuwa na tatizo lolote...
Kama nlivyoomba hapo juu simu yangu nikizima na kuwasha kuna maneno haya hapo chini yanamaanisha nini?
It is detected that SIM card does not match the carrier supported by the phone, and the...
Ebhana Kuna TV flat ya Philips inaandika PC nataka irudi ktk hali yake ya kawaida"... Msaada jamani, hii imetokea baada ya kubonyezwa limoti yake na mdogo wangu.
wataalamu naombeni msaada hapo kwani nimekuwa nikidownload software pamoja na application za android ambazo huwa na notes ili nijisomee ila nikizifungua zinanihitaji nitumie data. Hivyo upande wa...
Naomba msaada kwa mtu anaeweza kufungua picha ambazo zimeathiriwa na virus.
Picha zipo ila zinafunguka kama vidubwasha Fulani hivi hata file extantion yake imebadilika.
Tafadhali mwenye ujuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.