Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari nimekuwa muhanga wa kuaribikiwa na usb charger za smartphone na earphone kila mara, wakuu naombeni ushauri nini cha kufanya kuepukana na gharama za kununua usb za kuchajia kila mara?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu habari. Naombe msaada wenu. Nina simu ya htc one m7 inagoma kuingia play store. Najua humu JF hakishindikani kitu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu, natumia galaxy note 4 na insta nimeiupdate Lakin picha hazifunguki ukitaka kuview inasema failed to view picture
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Habari Zenu Wakuu.. Kuna watu walikua marafiki zangu facebook wakani block bila sababu na Idadi yao ni 10 jamii yao ni Wazungu kwa hiyo naombeni msaada wenu ili niweze ku...
1 Reactions
12 Replies
934 Views
Screen ina rangi ya pink pia kuna muda mistari inakuja na kupotea mfano nikiweka cursor na ku bonyeza kwenye " search box" au kwenye "wifi' icon Pia Pc inakua nzito shida huenda ikawa nini...
0 Reactions
6 Replies
40K Views
Lengo kubwa ni kutaka kufahamishwa jina na kazi ya kifaa hiki najua wanaokijua pamoja na kazi yake wataweza kunisaidia kukijua karibuni wadau.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada kwa yeyote anaejua kuappgrd android version kwa manual way nkitumia optn ya sim kwny setting inafeli inaniambia ninatumia current version. Na android version ambay iko current n 4.4.2...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Digital Ocean wanatoa free nafasi ya kujaribu cloud platform yao bure kabisa. Unaweza kuset cloud server kwa ajili ya project yako yoyote. Operating systems unazoweza kuzi install ni pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Habari zenu ndugu wanajamvi…. Usukaji wa umeme wa magari na usukaji umeme wa majumba na viwanda ni vitengo viwili katika fani ya umeme kwa maana nyingine naweza kusema kitengo chochote ambacho...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Habari zenu wadau,naombeni msaada kwa mwenye uelewa..natumia Simu ya Xiaomi Redmi note 3 pro ina IR blaster kwa ajili ya ku control vitu kama Tv,AC,fan n.k tatizo nlilonalo ni kuwa kwenye...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Naomba jina la game hili nililo attach
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habarii za saa hizi...!! Mimi naomba msaada kwa anaejua,nina simu yangu Blackberry z30 sasa ina 4G lakini nikiweka option hiyo ya 4G hata kama line nimeisajili inaniandikia Network...
0 Reactions
2 Replies
719 Views
Naweza kutumia njia gani niweze kupata all documents zangu. Msaada wenu wakuu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajukwaa habari ya Uzima, Nina tatizo kidogo kwenye account yangu ya Twitter yaani sioni comments za watu katika tweets zote za watu niliowafollow Twitter helpers nimepekua sana tu lakini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jinsi ya kuchora mchoro kama huu katika picha natumia iphone 5 Please
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba msaada nimepewa hio simu ila iko na icloud na bahati mbaya aliyenipa hakunipa password. Hivyo ningependa kupata msaaada wakuitoa
0 Reactions
7 Replies
625 Views
Nimekuwa mpenzi wa brand ya Samsung kwa muda mrefu sana. Lakini ujio wa hii simu ya Oppo f3 plus unafanya nianze kubadilisha mawazo. Karibuni tuichambue hapa. Hii simu inazinduliwa Leo Kenya.
2 Reactions
31 Replies
9K Views
Jaman wataalamu kudownload movies naomba mnitumie link ambayo nitaweza kudownload movies mpya kwa kutumia utorrent tafadhali
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wana jukwaa. Naombeni utatuzi wa swali langu hapo juu nifanyeje sub woofer zangu zimeniharibia memory card zangu mbili kwa muda mfupi. Nifanyeje? Wale wanaopiga mziki heavy...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom