Wakuu nahitaji fundi anayeweza Kutoa lock Kwenye machine yangu pia nahitaji hard disk angalau gb 180 ya hiyo pc
Pc inalock lock kwenye administration siyo kwenye hard disk yaani nimejaribu...
Ni salama wadau?,,mwenye kuifahamu hiyo simu inaitwa motorola "X" (moto x), nahitaji trei ya laini yaani kichuma kinachobeba laini mwenye kuwa nacho anichek inbox tuyajenge nina shida nacho saana...
Naomba kusaidiwa hili tatizo simu yangu ( Tecno N8) inashindwa kupokea baadhi ya message ...ilihali kwa anaetuma inaleta delivery report kua nimepokea message lakini nikiangalia hakuna huo ujumbe
Habari wanajukwaa,
Nna line ya ttcl ambayo naitumia kwenye mobile router hizi za huawei (dashboard yake haina option ya kurecharge). Tatizo linakuja wakati wa kujiunga na kifurushi. Nikiitumia...
Ndugu marafiki wanajamii wadau wa JF. Naombeni ushauri nina simu yangu aina ya samsung galaxy J7 ninataka niiuze na ina miezi 9 tangu niinunue.
Nataka niiuze ninunue simu nyingine. Sasa je ni...
Kwa nini hakuna mikanda kwenye viti vya treni ya kasi?
Ni jambo lililozoeleka kukuta mikanda kwenye viti vya magari na ndege, lakini hakuna mikanda kwenye viti vya treni ya kasi. Ukweli ni...
Wakuu,samahani naomba kufahamu maelezo ya kina kihusu tablets za thl katika matumizi yake mbali na kusoma vp katika matumizi mengine ya sim iko vizur??hasa tach,,uwezo wake n,k,nataka kuichukua...
Habar za wkt huu wana JF,
naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari, naomba msaada kwa anaejua Android appl nzuri kwa kuangalizia live match kwa kutumia simu ya Android, Ipi ni nzuri zaid?
Habari za mchama huu wana jamvi......
Naomba msaada juu ya simu ya Itel 1351, nimeiblok kwa kukosea kuingiza paten mara nyingi kimakosa, Hivyo naomba mwenye kujua jinsi ya kufanya Hard reset...
nafungua iphones zenye passcode lock na kutoa icloud nasisitiza natoa icloud sio kufungua,na sio iphones zote zinaweza funguliwa especially ambazo zinalatest versions za IOS but whatever lete simu...
Jamani naomba msaada kuhusu email yangu kila ninapoingiza data kuiludisha inagoma coz tatizo hili limekuja baada ya kununu sm mpya so sijui tatizo laweza kuwa ni nn msaada plz
Kwanini nyangumi wanakwama fukweni?
Hivi karibuni nyangumi aina ya humpback alikwama mara mbili ufukweni huko Qidong, hapa China. Watu walijaribu kumwokoa lakini walishindwa. Kila mwaka nyangumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.