Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nataka kuagiza vifaa vya miziki na nina uelewa kidogo tu. kwenye mixer naambia kuna njia nne, nane na 12, naomba maelezo kuhusu hzi njia maana sielew ni za nini. alafu hivi booster ni ya lazima...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Wakuu habarini sana... Wakuu nina kaPC kangu kaHP mwaka mmoja sasa...Kifupi hakajawahi kuwa na tatizo lolote zaidi mambo ya Window kucorrupt na mambo kama hayo..... Sasa wakuu kuanzia juzi...
0 Reactions
6 Replies
750 Views
Naomba msaada jinsi ya kupima capacitor, resistor na transistor na he nitagunduaje kama device hizo kama zimeungua ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tiGo hawajawahi kuacha kuonesha maajabu aisee... unaweka 'jero' kwa simu yako ambayo haina internet (data off), haujapiga na hata kutuma SMS, lakini Salio linakwisha kwa mnunurisho.. Jamaa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF. Jana nilitembelea nyumbani kwa rafiki yangu wa siku nyingi tuliyesoma wote shule ya sekondari, ambae tulikutana mitaani baada ya kupotezana miaka mingi iliyopita. Yeye ni...
2 Reactions
167 Replies
20K Views
Kitendo cha kuroot simu unajipa uhuru mkubwa sana wa kuifanya simu yako utakavyo, Vijana wa mjini wanasema "Unaweza kuichezea mpaka sehemu za siri" kwanini?? Hapa ntakupa apps 10 bora kabsa kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wandugu habarini... Ninataka kudownload app nyingi kama viber,whatsapp etc ila shida ya hii simu kila nikitaka download inaniambia OS ni ndogo...natumia Samsung S1. Plz help....
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Vyombo vya habari hususani redio na runinga havizungumzii ugumu wa Usafiri unaowakabiri wakazi wa Kasulu, Kibondo na Kakonko hususani ubaya wa balabala misimu hii ya mvua. Tunaishukuru Serikali...
3 Reactions
1 Replies
715 Views
Wakuu napenda kutanguliza shukrani za dhati, natambua tuko hapa kwa kusaidiana na kupeana maujuzi, binafsi nahitaji kumiliki blogu yangu hii blogu nataka iwe sehemu ya watu kupata ujuzi ambao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WHATSAPP Yatoa Tamko kufungia Baadhi ya Simu janja zisitumie mtandao huo ifikapo Dec 31 mwaka huu (2017). Simu janja hizo ni kama vile 'BLACKBERRY OS', 'BLACKBERRY 10' & WINDOW 8.0 Na simu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni siku NNE tu tangu nimenunua hii simu Tecno WX3, So nikaanza kuitumia huku nikienjoy internet yenye kasi ya nguvu. Sasa nashangaa siku takribani mbili simu inazingua kusoma 3G hali ya kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina mashine kadhaa zinazotumia umeme wa 110-120volts pia vina 1500watts. Nitawezaje kuvitumia hapa Tanzania kwa umeme wa 220-230 Volts ambao pia hauko stable? Je, nahitaji Voltage Converter au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauliza namna ya kupata golds free kwny game tajwa hapo juu
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Mambo vipi wapendwa naombeni msaada kwa anayejua youtube yangu inazingua ku play video nikifungua inaandika "There was a problem with the network (410) Nimejaribu kila njia imeahindikana
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Msaada please,nifanyeje nifanikiwe Ku install?
0 Reactions
6 Replies
823 Views
jfdvfbjfjvjdlvklbkofljkflvbkjdlfcb
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari wakuu kama kuna yeyote atakayekuwa na serial key za fl studio 12 anisaidie nimeidownload jana imekuja kama demo version inahitaji key naipenda sana hii program coz napenda sana kujifunza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu... Ningependa kupata muongozo wa games za ps3 zinazoendana na The last of us katika gameplay.... Nimelipenda sana hili game kiasi kwamba nimelimaliza na kulianza upya tena...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
wakuu nimepita mjengo fulani palikuwa na kagiza ghafla taa zikawaka baada ya kupita zikazima je hzi taa zinatumia sensors zipi kudetect motion haraka ivi na kufanya automatic switching niliwah...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wandugu nina swali kuhusu hii offisi. Nimetembelea website yao lakini sikuweza kupata the following information: Jee, ni kampuni ngapi wameshazisaidia kutoka idea to a product or into becoming a...
1 Reactions
1 Replies
712 Views
Back
Top Bottom