Habari wakuu,
Mwaka 2018 ndo unakaribia kuanza. sasa nafikiria niongeze kitu kichwa. Nawaza nisome programming language kama C++ na python.
Napenda kupata taarifa kutoka kwenu wadau. Pia mwenye...
Hizi frameworks za Javascript ambazo zinatumika kwenye web and app development!!
Angular ilitengenezwa na google back then in 2010 na ikafanyiwa modifications mpaka sasa imefikia version 5...
hellow wana jamvi naomba mwenye uelewa jinsi ya kurudisha system apps zilizo futwa katka sim aina ya huawei.....nimerajiru ku fanya restore default lakini hiki ndo naletewa na haiendelei kufanya...
Habari wadau
Nina PC moja INA CPU ya kizamani sana pentium 4 with 2.2Ghz
Ni HP Compaq d510 sff
Sasa nilikua nahitaji ni upgrade processor.
Sasa hapa ni processor IPI yenye nguvu kidogo itakaa vizuri.
Wakuu habari ya jioni. Natafuta mtu mwenye kioo original cha Samsung S4 hapo juuikiwa ni pamoja na ile digitizer. Yangu ilianguka na kupasua kioo. Simu ni nzima kabisa sema changamoto ni kioo...
Ndugu wanajamvi napenda kujua kama spare parts za audi zinapatikana bongo hapa. Maana kuna mtu anataka nimwagizie audi ila sasa kabla sijamuagizia ni bora nikajua upatikanaji wa spare nisije...
Habari wanajamvi? Natumai wazima..
Leo nataka nionyeshe njia rahis ya kupakua media tofauti kene Instagram kwa kutumia app ndogo sana Regrann..
Unaweza ipakua hapa [emoji117] Regrann
Baada ya...
Habari zenu wakuu, ningependa kuwashirikisha huduma ninazotoa ni pamoja na ;
Tshirts
Uniforms
Calendars
Business Cards
Flyers
Brochures
wheelcovers
Delivery note
Invoice book
receipt book...
Habari za ndugu zangu.
Mwezi uliopita nilifanikiwa kununua laptop moja niliyokua naihitaji sana katika shughuli zangu za hapa na pale, pia nikiwa kama mpenzi wa laptops games niliona inanifaa...
samahani mwenye ujuzi anieleweshe kama pc yenye specification zifuatazo inaweza support games kubwa processor duo core 3.1 Ghz RAM 4 graphic card 1 gb natanguliza shukrani
Pamoja na upya wa sigara hizi kupunguza kipato kwa watu wanaojihusisha na kilimo cha tumbaku lakini sigara hizi lazima ziwe na madhara ya mionzi au kemikali zitokanazo na mfumo halisi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.