MREJESHO!!
Nimeichukua simu ile aina ya OPPO F5. Hakika sijutii MaashaaAllaah ni simu nzuri sana. Usuri wake ni kuanzia katika kukaa na chaji, technolojia yake na hata muonekano wake ni mzuri...
Juzi nimeifanyia manuva miracle box ... nimefake fake maujanja mengi sana mpaka start button imetokea kuonyesha ipo tayari kufanya kazi
Lakini sijawah kuitumia hii software
nikajaribu kuzima simu...
Habari zenu wana jukwaa! Mi mgeni sana kwenye hili jukwaa mara nyingi nikireply kwenye uzi sionagi options za ku-bold, underline, italics pamoja na kutumia colours. Naomba mnifunze, natumia PC.
Wakuu nipo sehemu sina access ya playstore, nina shida sana na vpn mnoo nisaidieni, kuna vitu vya muhimu nataka kuvipata whatsapp, nimeweka ya kununua lakini imefanya kazi nikiwa dukani, haikubali...
Wakuu naomben kusaidiwa hii game imekua ikinisumbua sana kila ninapo jarib kuinstal inanigomea nime view youtube videos kibao nikajifunza jinsi ya kudownload data ya apk na mod na jinsi ya...
YALIYOMO KATIKA HIO MPYA.
>Multiple Account
Sasa utaweza kutengeneza Akaunt mbili Ama zaidi kupitia App hio moja wala huhitaji Paraller Sapce Ili kutengeneza Akaunt zaidi.
>Swipe Reply
Sasa...
Habari za mwaka mpya wapendwa,,,
Nina laini ya vodacom ambayo nikiiweka kwenye smartphone yoyote huwezi kumpigia mtu,,, maana nishajaribu kuiweka kwenye smartphone aina nyingi lakini...
Bila shaka hili ndo toleo latest 23.001.07.29.910 kwa modem za Huawei kwa wale ambao hamjaipata hii. Mimi nime-upgrade kwenye Huawei E303 pia nmereplace ile ya mwanzo iliyo kwenye modem na kuweka...
Habari wakuu..
Kuna hii app ya WiFi map, naisikia sana inazungumziwa humu. Hivyo naomba maelezo zaidi ili niweze kutumia
Maana nimejaribu kudownload play store naona chenga tu.
So wale woote...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
Bismillaah, AlhamduliLLaah.
Na'am leo tutapatapo kujifunza JINSI YA KUFICHA NA KUFICHUA CONTACTs BILA KUTUMIA APPLICATION.
JINSI YA KUFICHA
1...
Si ngeni sana kwa watumiaji wa barua pepe kupata taarifa binafsi. Unaweza kuona dunia na mambo yake ya ajabu sana, kama ulishawahi kukutana na barua pepe ya mtoto wa mfalme wa Nigeria ambaye...
Indonesia ni nchi pekee ambayo inaruhusa ya serikali kutambua jina moja kwa raia wake, na hivyo basi kwa kutambua hili Facebook wakaruhusu watu wa nchi ya Indonesia kutumia jina moja kwenye...
Wadau, nii unroot simu yangu sumsung s3, sasa nataka nibadiliche custom to offficial , mwenye ujuzi wa hii kitu anisaidie namna yakuondoa custom , nakuweka official
Natambua kwamba app ya jf imetoka mbali sana. lakini naona ukuaji wake upo taratibu. ukilinganisha na app zingine. kwa sababu app zingine naona wanajitahidi kila siku kutoa update na kulekebisha...
Wakuu samahanini kuna mtu alinitumia ela halotel money sasa akakosea akatuma muda wa maongezi,ni ela nyingi sasa nataka niwaunge watu nirudishe hata ela yang nusu, naeza nkakuunga Gb au dakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.