Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Baada ya kutembelea kiwanda cha BMW Mini Cooper kilichopo Oxford, kiwanda pekee kinachotengeneza gari hizo Duniani, tutaeleza kwa ufupi kabisa mambo machache kuhusu kiwanda hicho na gari hii. Mini...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Laptop yangu inazima ghafla, yaani ukiwasha inakaa kama sec 30 hadi dakika 1 then inazima ghafla. Shida itakuwa nini? Msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chaji iPhone 8 Au iPhone X kwa Uharaka zaidi. Simu za iPhone 8, 8 Plus na X zina support fast charging. kutokana Na taarifa ya Apple, unaweza kuiweka chaji kutoka 0 hadi 50% Ndani ya dakika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada Mwenye link ya kudownload Next Vpn for Pc anisaidie. Thanx
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Je, umedondosha simu yako kwenye maji au imeingiwa maji?. Usipate tabu, Ukichukua hatua za haraka unaweza ukaiokoa isiharibike. Hatua ya kwanza kabisa itoe kwenye maji haraka iwezekanavyo kwani...
7 Reactions
50 Replies
13K Views
Hellow! Bila kupoteza muda, kama kuna mtu anayeweza kuflash/ku unlock moderm ya airtel (huawei E8231) ili itumike mitandao yote tafadhari akuje tuyajenge!
0 Reactions
3 Replies
586 Views
Hi Hivi wakuu tunelewa kua most wanted programmer katika dunia hii ni wa language gani?--ingawa nchi yetu ipo chini katika field hii but me as a freelancer, lazima nielewe hili, kama wewe pia ni...
0 Reactions
42 Replies
42K Views
Salamu kwenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2018, naomba kuelekezwa namna ya kufanya factor default kwenye king'amuzi cha star tymes, chenye rangi nyeupe kitumiacho dish. Maana nimeenda menu halafu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenyevbody ya pc kama hiyo kwenye picture nahitaji. Hata ikiwa color nyingine. Pm kwa biashara
0 Reactions
1 Replies
610 Views
Pleaz let me know where I can get them
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Wakuu naomba kufahamu kama nitajitahidi kuwekeza na kujiajiri katika uanzishaji wa shule ya awali. Kama kuna sheria na kanuni zozote ambazo zinatakiwa kufuatwa naomba kufahamishwa hapa. Pia msaada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kampuni ya Teknolojia ya Apple imethibitisha kwamba vifaa vyake vyote vya teknolojia vilivyoundwa na kuwekewa chip zilizobainika kuwa na kasoro vimo hatarini kukumbwa na madhara ya shambulizi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
msaada jinsi ya kupata pesa kwa kutumia whatsapp
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kama tunavojua teknologia inakua kwa kasi, binafsi napenda vitu computrized na pia kutumia mtandao kuongeza kipato. Tayari namiliki website 1 na blog 1 zote kwa mambo ya afya . Nipo Dar napenda...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Leo nimewaletea mandhari nzuri ya club ya Ujerumani Borussia Dortmund nimekuwekea hapa unaweza kuipakua Download theme ya Borussia Dortmund kwenye GBWhatsApp ~ SmatSkills utawekaje kwenye simu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumia Lenovo k4 Note Vibe.....Nilikuwa Na Update GbWhatsapp Kutoka v6.00 ad V6.10 ila Baada ya KudownLoad Inagoma Ku Install Inaniambia Parse Error
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo sumsung wametambulisha prosesa mpya je s9 itashindana na iphone x Samsung today announced the launch of its latest flagship mobile processor that's expected to power the firm's upcoming...
1 Reactions
3 Replies
683 Views
Here's a summary of the two branded bugs: Meltdown This is the big bug reported on Tuesday. It can be exploited by normal programs to read the contents of private kernel memory. It affects...
1 Reactions
0 Replies
686 Views
Wanajf naomba msaada, Simu yangu now ukiiweka katika chaji inawaka kuonesha inaingiza chaji lakini inaongezeka percentage chache sana yani hata 2%@hour kwa hiyo labda mwenye kujua anisaidie kama...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari wakuu Ebana mm natumia sony vegas katika edit zangu, sasa kuna effect moja hivi naisaka sana.... ni ile ya kufanya watu au hata magari yawe yanaenda fasta kiasi ambacho unaona mataa tu kama...
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Back
Top Bottom