Habari wana jf
I hope mko poa ninatumia samsung galax neo grand 2 yenye version ya 4.4.4 nimejaribu kuroot inagoma kabisa na nmefuata procedure zoote lakini wapi msaasa jamani
Wanajamvi wa mavituz ya science. Nauliza ni antivirus gani ya bure ni nzuri? Kati ya hizi ambazo ni top ten kwa mujibu wa mtandao wa Yahoo? Hii kaspesky imekuwa bomu inafanya computer kuwa nzito...
Kwa yeyote anayeuza iphone 6, 7 yake yenye tatizo au kama imechoka anicheki. Ilimradi isiwe imekuwa locked.
I mean kuu kuu.. au kama ina tatizo lolote halafu aitengenezeki mbali na kuwa locked...
Ninayo ps 3 controller wireless,nimejaribu kuitumia kwenye computer kwa kutumua usb wire inafanya kazi na ninacheza game zote vyema..
Kwa sasa naitaji kuitumia kama wireless yaan bila kuchomeka...
Habari zenu wapendwa
Naomba MSAADA wa simu yangu Tecno w4
Nikiiwasha inaleta maandishi haya
UNFORTUNATELY THE PROCESS ANDROID.PROCESS MEDIA HAS STOP Kisha inajizima
Naomba MSAADA kwenu wakuu...
Salaam wana technology
Nipo Mwanza nahitaji kununua digital camera ndogo kwa matumizi yangu binafsi
So naomba mnijuzi aina gani ni nzuri na bei zake zikoje ili nkaitafute dukani
Happy Boxing Day.
Habari ya uzima wakuu na heri ya mwaka mpya 2018!
Naomba msaada,kama kuna yeyote anajua taasisi inayotoa practical training ya networking kwa bei nafuu hapa jijini Dar es salaam, nitashukuru sana...
Wakuu Habari zenu! Hope you are Doing Good.
Waungwana, Muda si mrefu nilikuwa nimeshika Simu Android. Sasa nikataka kufuta Pich moja kwenye CAMERA PICS,
Kwa Bahati mbaya nikaFUTA Faili zima...
usishangae kuona teknolojia ina kufikia kwa njia yoyote,kwa kuwa itataka kushindana na ubora hata kisoko kuvutia wateja.
kampuni Zanco imetengeneza simu aina Tiny t1 ambayo uzito wake sawa na 150...
Nasikia kuna virus ambao wanaweza kuingia kwenye simu na kuharibu mfumo wote wa simu na App zote kwa ujumla.
So wataalamu mliopo humu, Je hili jambo ni la kweli na ni njia zipi zitumike ile...
Utapeli ni tatizo kubwa sana kwa kila mtu,hasa mtumiaji wa mtandao, huenda wewe ushawahi kukutana na aina fulani ya utapeli.
Kuna aina nyingi sana za utapeli wa kimtandao, leo tutaona baadhi tu...
Habari wakuu,
Nina desktop yangu aina ya Asus inasumbua.
jana wakati namaliza shughuli zangu, niliacha wazi usiku kucha. Leo naiamsha naikuta screen imekwenda kwenye bios moja kwa moja...
Hi.Naomba kuuliza sim twaja hapo juu imkua na ttizo la kupata moto sana na inpofkia asilima 70 za betri huwa ina zima ghfla,na baad y dakka nkiwasha ndo inawaka.yan kimcng inazima zima sana.Saidia...
naamini humu kuna wataalam na watu wenye uelewa tofauti na wajuzi wa mambo katika fani mbali mbali.
naomba nielezee shida yangu naamini mtaelewa nini nataka.
naomba nianze na mfano. aplication...
Hii wengi wamezoea kuitumia kwa utambuzi wa no. Mpya tu, lakini ina kazi zaidi ya hizo, moja wapo ya hizo kazi ni kutuma ujumbe mfupi (sms)
Dial pad(kibao cha nambari) pia ina uwezo wa kuzuia...
Habari za mwaka mpya
Nimeamua kutengeneza uzi huu ambao unatukutanisha wamiliki wa website na blog
zipo post nyingi humu zinazozungumzi kuhusu jinsi ya kupata kipato kupitia website au blogs...
Wakuu kwa kutumia dishi la startimes, zuku au azam
Nina receiver yangu labda ya qsat au labda ya mediacom sina dishi la futi 6 na kuendelea
Nina dish la startime
jee ninaweza kutumia na dish la...
jamani kwa anaye tumia startime ya dish zile decoder nyeusi unaweza tumia kama free to air kwa kuweka channel zako zingine ukiachana na startime kwa mfano continental inauwezo wa kufanya hvy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.