Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Aliyenayo anipe bei 0756 240505 please
1 Reactions
2 Replies
614 Views
Habari wanajamvi kwa ujumla? Nimetengeneza bot maalum kwa ajili ya kukupa taarifa uchambuzi na trick mbalimbali za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili, kama unatumia telegram unaweza unaweza...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mm nina mpenzi wa Samsung sana naomba ushauri kwa aliyewahi kutumia Samsung a5 2017 japo hapa bongo siwezi pata new brand ni second
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mtu anayeweza kusolve hili tatizo naomba msaada sana.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello guyz kama heading inavyosomeka hapoo nmesumbuliwa sana na hii kitu sasa nmeamua kuwaomba msaada since PC yangu niliwekea setup ya FIFA 17 bx kila nnapo taka Ku install inaniandikia my...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Naombeni msaada kwa wajuzi radio yangu sony cd 3 imepoteza sauti mwanza ilikuwa na tatizo la eject ukiwacha inajizima lakin sauti ilikiwepo sasa nikampelekea fundi mmoja hapa uswazi kwa maelezo...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Nimeanzisha CHUO cha kukamilisha mipango ya mwaka huu, Kwa wale waliosoma lakini hawakuielewa ama unahitaji kusoma basi mwalimu nipo hapa Masomo hya yatakuwa ni online na ndiyo tutakayosoma pekee...
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Habari wakuu nmepewa aina hiyo ya simu na ndugu yangu anaeishi nje ya nchi lakini kila nkitaka ku reset inaniandkia cannot connect to the iCloud wakati passcode na passwords zote nnazo.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari JF, Secure SmS - Faragha, ni mfumo wa simu kwajili ya kupokea na kutuma meseji bila kuwa na uhitaji wa kutumia Internet. Hivi sasa kuna uwezekano wa kusomwa meseji za wateja katika...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habarini za kaz waungwana, nimeweka kifurushi cha Startimes lkn bado sipati chanel, ninamashaka hakijaingia km ilivyo kawaida, nawezaje kuangalia km balance ipo? Tafadhari kwa anaejua
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Natumaini mpo salama, nimekuwa nikiona hiki kitu kwenye computer yangu nashindwa namna ya kukiondoa tafadhali mwenye uelewa anisaidie C:\window\SysWOW64\msiexec.exe
0 Reactions
12 Replies
1K Views
jamani, habari natumai mahali hapa wapo wenye uzoefu tofauti tofauti katika na huduma ya Google Adsense, ninamiliki blog inaitwa JobFinder " Job Finder Tz " Ambayo mwanzoni nilikuwa naingiza...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Naomba Msaada wa kurestore laptop kwa window xp
0 Reactions
1 Replies
328 Views
.hotel.tz A domain name for Tanzanian Paradises Click link : Shopping Cart - FauluHOST.co.tz | Domains & Hosting
1 Reactions
0 Replies
633 Views
Jamani hii simu mbona majanga? Yaani nimeamka asubuhi majina yote yameondoka hususan nina tabia ya kuyasave kwenye simu. Halafu kuna wakati picha nikifungua nakuta zimekatika yaani inaonekana nusu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya kupata HI FONT ambaya nitaitumia bila kuroot simu maana napenda sana kubadilisha maandishi ya simu yangu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam wataalam Mi nina simu Itel 1508 Hii simu bwana imeanza ugonjwa wa kutopeleka chaji ,sometimes nikiichaji inaingia vizuri lakini inaweza ikafika 20% ikasimama isiendelee tena inaweza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu ndugu! Kumekuwa na tatizo kubwa la Umeme mtaani kwetu. Kuna mtu kaniambia kuwa, nikinunua UPS itasaidia pindi Umeme ukikatika niweze japo kusevu kazi niliyokuwa naifanya katika...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Ni simu yenye specifications zifuatazo RAM GB 12, Uhifadhi wa GB 1,000(TB 1)…Ni vigumu kuamini simu kuwa na uwezo (specifications) wa kiwango hichi ila simu ya Turing Phone Cadenza iliyopo njiani...
4 Reactions
34 Replies
13K Views
Habari wakuu,naombeni msaada kwa wenye uzoefu au aliyewahi kukumbana na tatizo hili kwenye iPhone..Nina iPhone 6 nimeitumia kama miezi 6 hivi na nilinunua mpya.Tatizo lilianza wakati wa kutumia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom