Habari zenu wakuu!?
Natumia samsung s6 sasa jana nimechomeka kwenye charg ikaniletea ujumbe unasomeka `Charging paused, better temperature too low".....
Naomba msaada kujua nini kimesababisha...
Habari wakuu,
Natumiaga afrobox kwa simu inapiga kazi vizuri, sasa leo nataka kuitumia kwa laptop nimetumia ile software ya bluestacks kuinstall vizuri, lakini nikiplay channel mfano clouds tv...
Habari ya weekend wana jamvi..??!!
Moja kwa moja twende kwenye mada.
Ninatafuta battery ya Hp Probook 430 model number RA04 nitaipata wapi ambayo ni mpya?
Habari zenu wana JF
Wakuu kama kichwa kinavyo jieleza ninauitaji wa laini ya Voda yenye Huduma ya University Offer lakini mimi siyo mwana chuo pia kama itawezekana Ninayo laini ya Voda...
Kuna App inaitwa Findyr. Kila nikijaribu kuinstall inaniambia your device isn't compatible with the app. Ni uwezo mdogo wa simu au inakuwaje hapo. Msaada Tafadhali
Kwa wale software developers, computer engineers au IT specialists naomba mnisaidie algorithm ya automatic timetable generator. Hata kama uta extend kwa kutoa na codes pia itapendeza. Lugha yoyote...
Wapendwa nina Iphone 6S ambayo ilikuwa ina IOS 10 na leo hii nimei-Upgrade kuwa IOS 11.2.2 baada tu ya kumaliza kazi hiyo imegoma kufungua App Store,Itune Store na Podcast.Nauliza ni fanyeje ili...
Habari wana JF, kama kichwa kisemavyo, mm ni developer, nimetengeneza app yangu ya kwanza kama majaribio, lakini kuna watu wameipenda na wanataka niwauzie, lakini mimi sijui bei ya app, naombeni...
Mambo vipi wadau i hope mko poa
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Kushindwa kutofautisha kati ya Mb na MB limekuwa ni jambo linalowachanganya watu wengi tu bila ya wao kujua sasa leo...
Tumetengeneza App kwa ajili ya Watoto inayoitwa WatotoApp, ambayo kupitia hiyo watoto watakuwa wanapata hadithi.
Kwa sasa, hadithi zilizopo ni kwa ajili ya Watoto wa miaka 8 - 12.
Kama ungependa...
Wakuu habari zenu
Naomba kushauriwa kuhusu aina (brand)nzuri ya stabilizer (automatic voltage regulator) kwa ajili ya friji langu, friji langu limekua likizima umeme unapopungua nikadokezwa...
utachukua WIFI A (1MPS) + WIFI B (2MPS) = UTAPATA 3MPS SPEED
UTAFANYAJEEEEEEE??????????? BAKI NAMI............................loading 89%
HATUA ZA KUFUATA ( kuwa makini)
njia ya 1
1...
Habarini wakuu,nimekuwa nikikutana sana na haya maneno katika simu za Samsung huwa sielewi yana maana gani au utofauti gani katika simu hizo
Najua kuna google ila majibu ya humu ni mazuri zaidi...
habari wadau..
najua wote tunajua tupo kwenye internet era.. digital age..
najua kuna wengi wanatamani nao wapate mshiko kwa kuitumia internet tu..
huu uzi maalumu wa kushauriana na kupeana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.