Naomba msaada kujua tatizo ni nini kwa laptop yangu kugoma kuwaka ili Hali ina clean windows 10 na inaishia Kwenye neno "diagnosing your PC" muda mrefu sana.. Tatizo limekuwa likijirudia...
Nshaumiza kichwa 4 some days na hii error c00000017 during installation mpk ikanibid niinstall Ubuntu ndo ikakubali lakin bado nahitaj kuinstalll windows na iyo error ni kikwazo so mwenye useful...
Hi Guys,
Ni app ipi ya whatsApp yenye size ndogo interms of MB? Maan hi ya kwaida ni more than 260MB. Kwa sisi wenye simu zenye memory ndogo inakuwa tabu tupu
Si ajabu sana kuona teknolojia mpya kwa sasa, wana sayansi wamevumbua mfumo utakaowezesha ubongo kuingiza akili yoyote unayo taka kutokana na mahitaji unayotaka.
Mfano kama unataka kujua kareti...
Kuna hii app ya MPESA.Nimeijaribu kwenye Wifi ikakataa error message ni kwamba mpaka kutumia mobile data.Nikatumia mobile data kwa Halotel ikaonyesha haipati server.Nikatumia VodaCom data ndo...
Wadau hii kitu nilikuwa nafuatilia ila sijaona progress yoyote, kuna yoyote mwenye news kama vodacom TZ watarelease API yao ya M-pesa. Najua airtel wana public API's ila sijui kama zinawork TZ, na...
habari za mudaa huu wana tech,
kama mada inavyosema nahitaji developer atakaye develop a native app ya Mjasiriamali Desk Site kwa Android na iOs (Iphone) yenye muonekano na features kama facebook...
Wakuu Habari.
Najua huku kuna ma-expert wengi. Nataka kufungua TV station.
1. Nahitaji vifaa gani?
2. Gharama yake ikoje?
3. Kujiunga kwenye makampuni e.g Star times gharama zikoje?
4. Je...
Habari Zenu wana Jf,
Nimekua nikipokea request nyingi sana Pm watu wakiniomba niwaelekeze jinsi ya ku unlock simu ya TECNO Y3+.
Zaidi ya 20 nilishawaelekeza na wamefanikiwa 1000% , haihitaji...
Leo nimeanzisha FORUM changa, hi inaitwa MaarifaForum
Hi sasa itakuwa hewan mda mfupi ujao. Ni site ambayo itakuwa ikiandika maswala ya elimu,teknolojia,burudani,afya nk na content s zote zitakuwa...
iphone 6 yangu ilianguka kioo kikaharbika baada ya kubadilsha kioo camera zote front na back hazifanyi kaz na flash haiwaki nime reset all settings bado tatzo lipo inaonesha black msaada mwenye...
Nokia inaonekana wanakuja kwa kasi na wanataka kuwin trust ya consumers kwa mara nyingine. Katika utumiaji wangu wa smartphone, nimekuwa muumini wa Androd platform kwa muda mrefu sana, na katika...
Express Accounts... Hii ni soft ware ya Kibiashara ambayo inaweza ikakusaidia kupunguza upotevu wa hela pindi unapokuwa unasimamia Biashara yako.
Inawezekana ilishawahi kuwekwa huku Jf ila...
Kama upo Mza Na Pc au Laptop yako haiko protected Na unahitaji kuiprotect njoo tushare hii product ya Two users. wewe utachangia 20000/= tu maana product yenyewe Ni 50000/=
Asante
Hello! Bosses,
Nimepata tatizo kwenye flash yangu nilikua na copy file kutoka kwenye computer kwenda kwenye flash mara gafla ika stop baada ya kustop nikaitoa ile nairudisha tena ikaleta "your...
Habarini wana JF
Nimezoea kuinstal Windows kwakutumia CD yenye Windows moja tu,
Naomba kuuliza vipi kuhusu CD yenye Windows zaid ya moja, huwa inaleta option yakuchagua Windows mojawapo ili ni...
Kama Una mpenzi wako simu yake abakuachi lakin ukitaka kwenda kene WhatsApp kaipiga pini, ukienda kene sms kailamba pin
Sasa hapa utajua namna ya kuingia kene apps zoote alizo lock pasipo kumuomba...
Kama nilivyo sema hapo juu..nazani naweza kueleweka kuwa mwanzo nilikuwa nikichukua sim 6a huawei nikichomeka usb file zote zinaonekana kwenye tv..nafanya yangu kama ku play music hapo..sas kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.