Samahani wakuu Mimi ni blogger sasa nilikua najaribu kuweka AdSense inayoitwa propeller ads hawa jamaa wanalipa hela nzuri tu lakini nimeshindwa kujiunga nao wananiambia ni verify website yangu...
Habari Wakuu! Naombeni Msaada Samsung S4 Yangu Inapata Fasta! Yaan Ndani Ya Dakika 4 Tu Baada Ya Kuchomeka Battery!
Nilinunua 2015, Sasa Juz Niliweka Chaji Kama Masaa 6. Kuamka Simu Ikawa Ya Moto...
Ikiwa utaweka nia na ku-dedicate muda wako kujifunza na kufikiri
ni applications gani waweza tengeneza na kufanikisha.
Waweza kujikuta unauaga umasikini bila kutarajia, kwani wapo vijana wengi...
Nahitaji msaada kama kuna namna au aplication naweza kupaste maneno mengi ya kingereza kisha yakabadilishwa kuwa katika maneno mengine ya kingereza lakini yasipoteze maana.
Mfano neno effect ni...
Salaam wakuu,
Hili sio jambo geni ni la muda mrefu tuu naamini wengi tunalifahamu ila tunakumbushana na pia kuwajuza wasiolijua.
Ili kuendana na kasi ya ukosefu wa fedha inayopelekea kushindwa...
mi sio mwingi sanaaaa ! lakini niulize chochote kuhusu lugha hizi uone kama niko vizuri au hapana
zingatia:
HAPA TUNAZUNGUMZIA JAVA NA XML(EXTENDED MARKUP LANGUAGE)
SIO
JAVASCRIPT NA HTML
Habari wakuu
Kama kichwa cha habari hapo, ni njia gani inahitajika kuweka App kwenye play store na AppStore ili mtu aweze kuidowload kama anahitaji, naamini hata Adimins anaweza kunisaidia
salamu kwenu!
Nilifanikiwa kuanzisha blog na website tofauti mpaka sasa si chini ya tano lakini naona zote zikifa polepole hazifanikiwi kabisa licha ya kumiliki account ya google ya matangazo...
Habari yenu wanajukwaa,
Kwa anaefahamu namna ya ku enable USB debugging kwenye devices bila kupitia kwenye settings ku enable developer options.
Nitashukuru kwa msaada wowote
Kwa watu wengi wanaotumia simu za mkononi, ni Vema Kulifahamu hili.
Umoja wa Kimataifa wa Mawasiliano ya Simu uliripoti usajili wa simu milioni 6 mwishoni mwa 2011. Hiyo ni 86 kati ya watu 100...
Habari wana JF, Kwanza heri ya mwaka mpya najua ni muda umepita toka tujumuike pamoja lakini bila shako wote mnaendelea vizuri kusongesha gurudumu la Jamii Forum kwa uzuri kabisa.
Basi kwa leo...
Heshima kwenu wakuu.
Wakuu naomba kwa ambaye anaweza kunisaidia nipate Windows 10 anisaidie kama kuna namna anaweza kunitumia online au kuna link ambayo naweza kudownload. Niko mbali na mji kwa...
Waheshimiwa nisaidieni PC yangu DELL LATITUDE E6230 ilikuwa inarun fresh windows ten sasa baadae katika kufanya mautundu flani ikaja ikazingua yaani ishu kama vile haikuwaka tena ikawa inadai no...
Habari zenu wadau hivi kulipia ads za playstore ili kutangaza app yako utaratibu unakuwaje maana nimetengeneza app yangu ya kustream Tanzania radio yenye zaidi ya radio 30 nahitaji kwa mwenye...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nahitaji kujua POWER BANK ORIGINAL hata kama inachaji simu mara mbili au mara tatu ikajaza kulingana na betri zake za mAh. Mfano power bank 9000mAh yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.