Hi ni kwa wale wapenda mionekano mikali ya simu.
Pia huu mfumo ni mgumu saana hata kwa mtumiaji tofaut na wewe atashangaa na kubaki kuzubaa..
Huna haja ya kuhide apps au ku lock kwa password...
Habari wataalamu
Poleni na mihangaiko ya kutafuta riziki.
Wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza Account yangu ya twitter imefungiwa gafla ila tatizo linalonikumba ni kutokua na line...
Kama unatumia simu ya 4G na upo Dar nakushauri tu utumie Zantel kwenye data. Hawa jamaa ni hatari sana aisee. Binafsi nateleza na bundle za chuo GB 10.5 Kwa tsh 10,000 mwezi mzima. Halotel...
Habari wadau wa Technologia, nauhitaji wa haraka wa motherboard ya laptop
Model: HP Pavilion 13.3" 13-a010dx Intel i3-4030U 1.9GHz Motherboard
Kwa yeyote aliyenayo anicheck kwa mawasiliaono...
Hello member this is my second and Last leak for today:This is a facebook wealth formula lakini kabla sijaielezea kidogo kwanza naomba kusema kua nashea hivi vitu kwa moyo mmoja tu na wala sio...
Habari wana JF leo tarehe 21kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kufikisha 100$ na pia nimeshaweka western union kama primary payment method...je mwezi huu naweza kupewa hicho kiasi???
Wakuu nimesahau password ya iTunes hivyo naombeni msaada kama kunanjia nyingine ya ukipata.au jinsi naweza kudownload muziki au video kwenye iPhone bila kupitia iTunes
Wakuu kwa anayejua kuediti picha vizuri background kuna picha yangu
1) ninayo naitaji background kama niko uwanja wa vita hivi, au sehemu frani yenye mandhari ya ki movie yaani niwe kama...
Habari za mchana wana jamvi, nime restore simu yangu aina ya K7 sasa cha ajabu tangu nii restore mpaka sasa hivi ni zaidi ya lisaa haijawaka sasa sijui tatizo nini?
Na nina jamaa yangu week...
Wakuu naombeni msaada wenu,simu aina ya tecno s1 ikipigiwa inaita kama sekunde mbili tu inajipokea yenyewe.Yani unaweza kua mbali na simu,simu ikipigwa unakuta imeshajipokea yenyewe IPO...
Habari wakuu, na wataalamu wa teknolojia
Kwanza kabisa nipende kuwashukuru kwa kunisaidia kuipata appk nzuri ya mobile tracker, nimekuja tena naomba mnisaidie ni app gani nzuri ya kurekodi simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.