Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
HABARI! Msaada wadau nina simu yangu ya HTC m3 But ina Tatizo nikiiwasha inaandika Encryption Unsuccessful Kwa yeyote mwenye ujuzi na tatizo hili msaada tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni gari inayotengenezwa Marekani,haitumii mafuta na wala hakuna cha engine wala nini,inatumia betri zilizotengenezwa kwa teknolojia kubwa na unaweza kuzichaji betri hizi kwenye umeme pale...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
wakuu hebu angalieni hii kitu! website ya bodi ya mikopo olas.heslb.go.tz imeingiliwa au ni macho yangu
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Natambua uwepo wa watalaam hii makitu humu ndani, heshima kwenu. Aina ipi ya heat controller/ thermostat inafaa kwa incubator ndogo, kati, mpaka kubwa. Lengo ni kuandaa home made incubator maana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, naomba msaada mwenye kujua kuhusu simu tecno cx inapeleka chaji kwa speed ndogo sana yan kwa nusu saa inaweza peleka asilimia 5, pamoja na kubadil charger kadhaa lakin tatizo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
msaada jinsi ya kudownload " final cut pro x " video editing program
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibunu nilikuwa nachukua kozi za java online na sasa naweza kuandika "Hello world" kwa lugha ya java <?xml version="1.0" encoding="utf-8"?> <LinearLayout...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
watalaamu nina simu mbili,tatizo linakuja kwenye signal za internet nikiweka laini ya tigo kwenye Tecno h6 inasoma h+,nikibadili laini hiohio kwenye Tecno w4 mtandao unahamahama Mara h+ Mara 3g na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wapendwa, Ni mwezi mmoja tu tangu nimewaamini tecno na kununua simu yao aina ya Camon CX. Naomba nielekezwe zilipo ofisi zao hapa Dar kwa ajili ya kufanya marekebisho ya sauti kwa maana simu...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Leo wakati na install Windows 8.1 nilijikuta naformat local disk C kuangalia kumbe Window setup haikuwa inasatisfy computer Hivyo nikarudi kuwasha komputer yangu ili nilog in ila ikagoma...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kupitia Mtandao wa CNET unaojihusisha Na technology ya habari na mawasiliano, wamechapisha kuwa. Kampuni ya Samsung Watazindua Latest Simu yao kwenye Mlolongo wa S. Simu hiyo itakwenda kwa jina la...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
MSAHADA MKUUU!!! jinsiya Ku Root huawei y3II lua L21 ina android 5.1 nime download king Root nika Root ikifikia kwenye asilimia 30% ina ji ristat nikitumia kingoroot ina gom naomba msahada mkuuuu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale ambao wanataka kuwa na YouTube channel kama ayotv na kujipatia pesa kupitia AdSense sasa Google (YouTube) wamekuja na hii kuanzia tarehe 20 February mwaka huu channel zote zenye...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
haya jameni kizuri share na wenzio. Viewen ni kampuni mpya iliyopo huko marekani na india inayofanya mishe zake za free shared hosting kwa watu wote bila kutoza kiasi chochote cha pesa kama...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ya Muda huu wadau, Naomba kujua gharama ya mkanda wa PC ya Hp ProBook 4330s kama kichwa kinavyojieleza....Natanguliza shukrani kwa ushirikiano wako.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii forum naoomba msaada wenu was hali na haraka nimekosea nimetuma message ikaenda kwenye group message mbaya sana ambayo itakuwa na ushahidi naombeni mwenye kujua jinsi ya kufuta...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
samahani mwana jukwaa kuna swali tumepew leo darasani nilkua naomba msaada wenu ni kama lifuaatavyo.....Jina la company TOSHIBA, SONY, APPLE, DELL, Hp, SIEMENS en et utofautshe kila pc kwa...
0 Reactions
2 Replies
608 Views
Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta njia ya kuweza kutumia whatsapp mbili tofauti kwenye simu moja. Leo nitatoa maelekezo mafupi ambayo yatakuwezesha kutumia whatsapp mbili kwenye simu yako japo...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Ningependa kujua information za jinsi ya kuiwekea laptop yako security yaaan ata kama ikipotea unaeza ipata kwa kuangalia GPS na ikakupa location ilipo.....
0 Reactions
0 Replies
789 Views
naomba kusaidiwa namna ya kuroot simu zenye android kuanzia simu 6.0.1 ukiacha simu za samsung. nimejaribu njia kadhaa bila mafanikio, nimejaribu kutumia kingroot,kingoroot,oneclick,wondershare...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Back
Top Bottom