Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau nina uhakika kuwa kupitia jukwaa hili nitapatiwa majibu, simu yangu aina tajwa hapo juu imeanza jana kujizima na kujiwasha yenyewe kifupi huwezi kufanya kitu chochote ukijaribu kufungua app...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa Wale Tuliotumiaga Mig33 kipindi cha Nyuma Na Simu zetu za Nokia .. Whatsapp Yetu kubwa Ilikuwaga Ni Mig33 na Group maarufu Nililokuwa naingia Lilikuwa Tigo Tanzania... Mig33 ilikuwa na utamu...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Naomba msaada wa jinsi ya Ku Root huawei y3II lua L21 ina android 5.1 nime download king Root nika Root ikifikia kwenye asilimia 30% ina ji ristat nikitumia kingoroot ina gom naomba msahada mkuuuu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam Wakuu! Mie ni mjasiriamali nahitaji kujifunza adobe cc program za Adobe Illustrator, InDesign, Premier, na Photoshop. Nahitaji mwalimu wa hizo program awe anakuja Kurasini jioni saa kumi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni PC ipi sahihi kwa matumizi ya simulators kama Euro Track2 na Need for the speed.Nimekua nikitumia dell inspiron1500 yenye ukubwa wa RAM 2 Gb processor ya 2.30GHz naimekua inastack sana...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Yani ukinunua MB za Tsh elfu moja, alafu ukanunua pakti moja ya Azam Ice cream, ile bundle itakuwa imekwisha yeyuka na kumalizika fasta kuliko ile aiskrimu kama ukivitumia vyote kwa pamoja...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wana JF, Natumaini wote mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu ya kujenge taifa. bila kupoteza muda leo nina maujanja ningpenda kushare na nyie. Njia hii ni rahisi na ya haraka na unaweza...
1 Reactions
20 Replies
17K Views
Habari wadau ,nina samsung s5 , jana ghafla kioo kimeanza kupunguza mwanga kidogokidogo hadi leo hii hakuna hata mwanga yaani kimekuwa black,nikiiwasha screen haionesha ila inawaka na hata mtu...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nataka kudowload app ya instagram, lkn kila nikijribu inaniletea huo ujumbe kama unavyoonekana kwenye attachment hapa chini, lkn siyo instagram tu hata fb na hata ku updated chrome nayo inagoma...
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Msaada wakuu nimenunua PlayStation (ps) dukani sasa nina flash mpya sasa kazi kwenye kudownload game nilijaribu kwenye laptop jana ila nikaambulia patupu msaada wakuu. sent from my galaxy using...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wakuu kati kampuni ya Samsung na iPhone ipi ina simu nzuri -kimuundo -kukaa na chaji -security -camera Hapa nimeegemea kwa GALAXY NOTE 8 vs iPHONE 8 Karibuni tafadhali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naitaj kununua Simu ya laki Tatu naomba ushauri kulngana na Ela yangu ninue Simu ipi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari JF, Naomba kujuzwa bei ya kioo cha sumsung J7 pro kwa dar es salaam. Na vinapatikana maeneo gan? Ahsante.
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Tafadhali wadau na watalaam,maomba msaada samsung J320A inafanyakazi, ila ikienda kwenye sleep mode baada ya kutotumika kwa dakika chache screen haionyeshi kitu kabisa labda nitoe betri niweke...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Habari ndugu na jamaa,juzi nimeuza simu yangu ila nimependa hizi simu za Infinix ila sijajua ipi nzuri,kuna simu moja nimeona hapa Sifa na uwezo wa Infinix Hot 5 X559c ~ SmatSkills ina vigezo...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Habarin wana jamvi,.mimi ni mgeni kabisaa kweny mambo yanayohusiana na solar power,.mwenye uelewa zaid anaieleweshe n wapi na ni nitazijuaje solar pannel na betry nzur na imara kwa ajil ya matumiz...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Solar water heaters are manufactured as pressure and non-pressure models. Pressure model (also called high pressure solar heaters) means, water in the tank are under high pressure, it's equal to...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Ni solar gani inauwezo wa kuwasha taa saba, feni, tv, na radio
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wadau msaada wenu please
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Wakuu nina lgx400 haizimi data. Nimepeleka kwa mafundi wameshindwa kuflash. Msaada jamani!
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Back
Top Bottom