Habari zenu wapendwa katika forum,,nilikuwa naomba msaada wenu kwenye hili natumia tecno p5 tatizo ni kwamba nikiingia instagram video hua zina play audio tu pekee yan video inakuwa ina ganda then...
Habari wana jamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba mwenye kufahamu jinsi ya kutengeza umeme wa kinyesi cha binadamu anipe somo
Natanguliza shukrani
No one enjoys battery issues. It's irritating that when you are already prepared to leave for work in the morning but your car won't start. No one enjoys being stuck somewhere at night because...
Wakuu habari,
Naomba kujua nimesajili na kuunganisha account yangu ya adsense na viblog vyangu viwili lakini hadi sasa wananiamba wanareview sijui nini, nimeseti kila kitu hadi ads place nimeweka...
Habaria za mida wakuu, kuna laptop hapa ina tatizo la kutowaka. Tatizo limeanza baada ya kuifungua kwa lengo la kuweka heat compound, sas baada ya kuifunga aitaki kuwaka yani hata ile taa ya...
Habari za siku
Mimi sina ujuzi wa haya ila kutokana na changamoto iliyojiteza nyuma sitoizungumzia hivyo naona inanilazimu nitengeneze mimi mwenyewe hii website ndo mana nimekuja hapa nahitaji...
SMART ambao walikuwa na package ya Unlimited kwa TSH 75,000 kwa mwezi sasa wameongezea lugha ya kibiashara kuwa hiyo "Unlimited" ina kikomo cha 100GB kwa mwezi. Hakuna pa kukimbilia!!
wakuu polen na kazi.nimepata kachance ka kwenda kutafuta kaujuzi.elimu 4m 4B.binafsi nilipendelea nikasome program yoyete mubashara ya computer ambayo kitaani nimarketable...
Nipo iringa na Nina Tsh.350,000 na ninataka kuagiza simu dar. Smartphone yenye prosessor nzur, internal memory yenye uwezo mzuri na camera nzuri. Naombeni ushauri. Aina Ipi ni nzuri kutokana na...
Habari za leo wakuu,Nimetatizika kupata Personal Hospot toka kwenye simu yangu,Kila ninapojitahidi kuunga napata ujumbe huu
Naomba msaada mwenye kujua ili niweze kutumia kwenye computer yangu
Ni kampuni bora kabisa tunatoa huduma zetu vizuri na warrant ya miaka mitatu yaani pakitokea tatizo tutafanya marekebisho bure ndani ya miaka mitatu ni cctv camera, za wire na wireless, pamoja na...
Write a C program which computes gross salary of an employee. Let your program input the rate of pay, hours worked, and service record in years. When the service record is greater than 10 years an...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.