Habari wakuu.
Ilikua mwaka 2010 nikiwa na wenzangu tukielekea maeneo flani ivi ya beach kwa madhumuni ya kwenda kufurahi. kwa kuwa ilikua ni mbali na tunapoishi ilitulazimu kukodi gari na tulikua...
Wakuu Habarini za majukumu. Niende 1kwa1 kwenye mada tajwa juu. Mimi kijana nimeona bora nirudi kijijini nikalime, lakin pamoja na kilimo naona ili nipate Mia Mia za kujiliwaza nimeona bora niende...
Naombeni msaada kwa watumiaji wa Blackberry smart phones nina simu yangu hapa ni z3 whatsApp kwenye hii simu iligoma kufanya kazi na kwenye my world nikaifuta nikijua nitairudisha tena sasa...
Wakuu niko na simu aina ya samsung s7 simu ni yenyewe,lakini code zote zile za samsung na imei zinagoma nilijaribu kugoogle wakaniambia niclear cache partition lakini nimefanyw hvyo bdo hali ni...
Wakuu Habari
Last Week Katika Kuhangaika Hangaika Kutafuta Flashing Box Ya Kufanya Network Unlocking Ya Tecno N2! Nikakutana Na Uzi Ambao Nishausahau Kutokana Na Haraka Na Ujinga Wa Pupa Ambao...
Habari wakuu, na wataalamu wa Technologia wa JamiiForums
Napenda kuchukua nafasi kuwataarifu wale watembeleaji na wanachama wa Mjasiriamali Desk kua tumeongeza features mpya ya utumiaji wa...
Wakuu sana.
Nimekua nkitafuta sukuhisho la kutengeneza 'info video" na nimebahatika kukutana na hii application ya wibbitz.
Changamoto yake ni kwamba inapatikana kwa demo.
1. Sijawai Purchase...
Habari za Asubuhi wana JF,
Naomba Masada Wa kitaaluma if naweza kutumia Whats app application kwenye PC hapa Tanzania,au any App inayofanana Na What App.
Shukrani,sorry kwa usumbufu
Habari zenu wana jf ninahaka kasimu kangu kanazingua sana kananiandikia kamahivyo inavyoonekana kwenye picha nikifungua kalenda,YouTube, Google drive n.k. Nahisi msaada wa tatizo hili jamani.
Wadau
Brother HL-3040CN Compact Digital Color Printer with Networking inauzwa kwa bei 1,200,000 tu. Imetumika kidogo kwani ilitumia toner zilizokuja nayo baada ya hapo haikutumika tena kutokana...
Wasallam wana MMU ..................nisuala tata sana kwa wengi wa watumizi wa jamiiforums kupitia computer kuingia jamiiforum au freebasic bure kama ilivyo sawa na watumiz wa simu za...
Habari wadau,
Nimekutana na changamoto katika kufanya malipo kwenye akaunti ya Google kwa ajili ya kupata huduma ya Google Play Store. Napata error message
"<i>Correct this card info or try a...
Wana jamvi wenzangu naomba msaada wa kurudisha picha zangu kwenye simu yangu baada kisimu changu cha tecno kuzingua nikakiflash, je naweza kuzipata tena?? Mwenye ujuzi tafadhali anisaidie
Habari!
Kama inavyojieleza hapo juu kama una kifaa cha Halotel Ambacho ni simu Model
-Model -OXE101
na Model -H8402
njoo inbox au whatsapp tufanye trick tupate GBs Za Intenet Madakika Na Ma-SMS...
hili ni tatizo la playstation kutokuwaka yani ukiiwasha inawaka taa nyekundu alafu njano alafu kijani inazima inarudi nyekundu, hapa kariakoo mafundi wanajua hilo tatizo kama yellow light...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.