Wakuu, natumia Tecno P6, nikiingia playstore na kui search game ya mpira ( Pro evolution soccer 2018 ) inakuja kwenye list ila hainiruhusu niinstall na badala yake nakuta ujumbe ( Your device is...
Naomba msaada kila ninapofungua picha kwenye pc yangu napata hiyo meseji Tatizo ni nini?
Windows canot find D:/jobs/flags/flags china mchemba. Make sure you typed name correctly, and try again.
Hello Guys,
Leo nimecheka sana aisee.
Nimetembelea Forrum ya TECNO, nikaona wanacompare K7 na Iphone 7 ,
Japo mimi pia ni mtumiaji wa tecno , ila ni kichekesho cha mwaka kuifananisha Tecno na...
Habari za humu ndugu zangu wataalamu wa teknelojia,nina simu yangu aina ya SAMSUNG s7 EDGE inanisumbua sana.. Mwanzoni ilianza kuzima na kuwaka,nikaipeleka kwa wataalamu wa simu ili waweze...
Nna mac pro 2012
Specification
HDD 500GB
RAM 8GB
PROCESSOR 2.5 @GHZ
INTEL HD GRAPHICS 4000 512MB
hapa naweza kcheza kcheza game zipi
Na jinsi gan ya kuinstall izo games kwenye mac hasa game za...
Hivi izi hack na ma app yote ya kuforge, ukiyatumia kwenye kompyuta (hasahasa) hawawezi ku locate upande uliopo na wakakukamata, maana nasikia kuna gereza lipo wapi sijui. Ndo lina lea waizi wa...
Habari wapendwa nilipotea kwa muda kidogo huku Jf. sasa nimerudi na uzi mpya ambayo tutajifunza online na kuna wajuzi wengi sana humu Tanzania sasa hii ni fursa ya mtanzania kusomea java...
Ijapokua zimeshatumwa sana, post kama hii, bado wana jamii wanapata ugumu wa kutumia modem zao. nasema hivyo kwa sababu nimekuwa ninapata PM nyingi zinohusu ku unlock modem hizo. njia ya bure ni...
Katika pitapita yangu huko Youtube nimekutana na hii kitu, I was interested to try lakini nimeona before nije kwa wajuzi humu ndani japo kupata mawazo, is it worth trying ? Kuna aliyejaribu...
Wajuzi wa digital camera watupe mawazo yao kuhusu
-camera nzuri kwa ( beginners) wanaoanza.
-camera za bei nafuu kwa still pictures na za video.
-Maujuzi kuhusu lens.
-Kuhusu kununua camera eBay...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.