Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau moderm yangu inasumbua kuconect.. ni hizi za universal sasa toka ninunue iliwahi kubali line ya voda mara moja baada ya hapo imenigomea kabisa! Kama kuna mtu anajua setting zake au trick...
0 Reactions
2 Replies
790 Views
Umeme wa uhakika kwa masaa 24 kwa Tanzania bado ni tatizo sana kwa sehemu nyingi, pia kwa watu wanaoishi maeneo yenye joto kali kama mikoa ya dar es salaam hulazimika kuwa na fan au air...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari ya saa hizi? Naombeni msaada wa software inayoweza ku unlock huawei E8231s-1 modem.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kazi yetu mpya ya tovuti (website) toka www.africanbase.net unahitaji tovuti kwa biashara zako? Mobile app? Graphics/logo design katika brand yako? Wasiliana nasi Leo whatsapp +255753 149 701 Call...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hakuna blogger asiejua ya kwamba bila watembeleaji kwenye blog zetu hatuwezi kuingiza dollar, ili mambo yawe omunye(safi) inabidi tupate views na hawa views bloggers wengi tunategemea kushare...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye setup za football game yoyote inayorun kwenye mac OS yaan pc za Apple anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Sony nao hawapo nyuma wametoa kitu kipya specifications\features Display--6 inch HD Processor octa core -- 2.15 Ghz Chipest -- snapdragon 840 Ram -- 8gb Primary camera -- 23.0 mp Internal...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Imagine wewe ni dba katika kampuni ya logistic umepewa kazi na boss uonyeshe mizigo inakaa muda gani mpaka inatoka hapa chini naweka table yenye field ya item_id ,handlintype kuonyesha mzigo...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
ni njia gani naweza tumia kuangalia simu aina ya lg kama ni orijino au feki
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wakuu! Mwenye ujuzi jinsi ya kupata emoji ya question mark in a box kwenye simu aina ya iPhone 5s ansaidie?
0 Reactions
0 Replies
766 Views
TLDR? Summary: We need to up our game DISCLAIMER: This post is inspired by just a simple Google search. I'm not perfect in whatever I say hapa chini, I have many shortcomings listed hapo kama...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Hello members. Naombeni mnisaidie satelite , transponder na frequencies recent za startimes maana nataka ni install receiver mpg4 ya star x _x2 plus ila nashindwa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
》Kama kuna mtu mwenye uwezo wa kufuta namba ya simu iliyokuwa imesajiliwa kwenye huduma ya WhatsApp ili isionekane tena kwenye huduma hiyo. Note; sijamanisha kubadili namba no just kuifuta kabisa...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Assassins Creed Origins With all DLC updates Free Download Assassins Creed Origins-CPY | Ova Games Assassins Creed Origins Incl 4 DLCs MULTi15 Repack By FitGirl | Ova Games
0 Reactions
4 Replies
1K Views
whatsapp wameleta new feature ambayo unaweza ukamtumia mtu hela online kutumia app hyo ya what's app. ni nini maoni yako soma zaidi hapa How To Enable WhatsApp Payment Feature - Techincidents
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu kwenye PC yangu kuna program inaitwa winrar sasa leo nimedownload program moja hivi ya kupimia magari inaitwa delphi, nimeshangaa imemamiliza kudownload imekimbilia kwenye hiyo winrar na...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Am intended to design a simple controller to control an electric circuit with a generator, a motor and two batteries. The circuit has to work as follows, At any instant one battery is driving the...
0 Reactions
6 Replies
922 Views
Assalaam alleikhu ndugu zangu..Matumaini mtakuwa hamjambo na wazima wa afya, nahitaji kujuzwa kuhusiana na International Money Transfer ipi inatakiwa niweze kupokea hela kutoka M-pesa au tigopesa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Naomba kufahamishwa namna na hatua za kufuata ili kufuta akunti ya facebook. Natanguliza shukran zangu za dhati
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wakuu ni smatifoni gani nzuri ambayo naweza kuipata dukani kwa bei isiyozidi laki moja na nusu...
1 Reactions
27 Replies
15K Views
Back
Top Bottom