Habarini wanaJF
Mimi ni mtumiaji mpya wa simu hii Samsung J5. Storage kwenye device yenyewe imejaa kiasi kwamba inaninyima nafasi ya kuinstall apps mpya.
Nikitaka kubadili default storage iwe sd...
Hacking the systems can be both ethical and unethical. There are many hackers who are famous for hacking computer systems and other communication systems. To know, who are the world's top 10 most...
"Rajeev Misra, a board member of its latest investor Softbank has said that Uber needs to withdraw from Africa and Asia to focus on core markets in the US and Latin America, in order to hit...
Poleni na majukumu wadau,
Naombeni msaanda PC yangu ilikuwa na window 7, mwishowe nikapiga chini hiyo windows, nikaweka windows 8.
Nilivyojaribu kuisntall CD ya printer, imegoma. Ikabidi...
Epuka kuwa na haraka/pupa/ kukimbilia
Unapaswa kuepuka kuwa na haraka/pupa/kukimbilia kununua kitu ambacho utaweza kujuta baadae. Unahitaji kuchukua muda kufanya uchunguzi juu ya simu unayoitaka...
Habari wakuu nataka kuanzisha website ambayo ina mwonekano mzuri yan texture iliyosimama kama ya wasafi.com
Halafu iwe na interphace ya user to registration, log in ,log out, pia iwe na...
habari wakuu
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,ninapenda na nna nia ya kuanzisha blog,then website alafu niendeleze hadi online tv je kuna changamoto zipi na mahitaji gani?katika hii...
Nina simu yangu iligoma kuwaka ghafla kwahiyo nikaamua kubadili betri na kuweka zingine nione kama itawaka, lakini haikuwaka na cha ajabu hata hizi betri nazo zimegoma kupeleka chaji, na...
Kwa siku kadhaa nilikua nafikiria, jinsi gani naweza kurahisisha kazi zangu za web development, ndipo nikaja na idea ya kutengeneza kitu kimoja ambacho kitanifanya nisirudie tena functionality...
Katika zama hizi watu wengi sana wanamiliki blogs, za personal, entertainment au matangazo mbali, kila mtu akiwa na dhamira tofauti akilini mwake. Lakini si Kila Blog inayoanzishwa hudumu, wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.