Leo nilikua napitia security system ya simu yangu nilikua nataka delete some security credentials kufika device adminstrators nakutana na hizi Find my Phone imewekwa tick na hii android pay sasa...
Nilikuwa najaribu kuconfigure MPLS network L3 kwa kutumia image ambaye nairun katika GNS3 lakini Kuna baadhi ya command zina kataa, kwa hiyo naomba mnisaidie kama Kuna version ya image nyingine...
Mambo vipi Wajuvi wa mambo, hope mko poa na mnaendelea na mapambano ya Maisha. Nimekuja kwenye kuhitaji msaada wa Ku-burn Image ya GTA4 kwenye Laptop yangu.
Changamoto inakuja ni kwamba DVD-R...
After fixing a few more bugs since the release candidate, we've just released the final version of wxWidgets 3.1.1. I won't repeat the announcement email or the release announcement on the web...
Habar,
Husika na kichwa hapo juu,ninayo blackberry playbook tab,ila sasa BlackBerry Id si yangu ni ya bro nate hayupo Tz kwa sasa,sijui password za kufungulia na kila nikijarib kupakua app au game...
Habari za asubuhi wana JF.
Kama ilivyo kawaida na ilivyozoeleka kwa mfanya biashara yeyote akiwa katika kazi yake ni lazima aitangaze bidhaa yake kwa namna mbalimbali ili kumvutia mteja.
Kwenye...
Guys habari zenu,..
Naanzisha CMS based website soon, sasa naombeni ushauri juu ya domain na hosting
Kuna kampuni za kitanzania nimeona zinadeal na haya mambo, je zpo secured??.... Na VP speed...
Wadau tuna app ambayo mtu anaweza kununua kitu kisha kufanya malipo kwa M-PESA au Tigo-PESA.
Tunataka "Web Application Server" yetu iwe na uwezo wa kupokea notification zenye details za malipo...
Wapendwa hivi kwanini haya makampuni ya simu hayataki ku-unlock hii opportunity? Au wanahisi watu watatajirika kwa kutanua wigo wa biashara zao?
Halafu upande wangu nashndwa kabisa kuelewa maana...
Habari za jumapili wadau!?
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza naomba msaada wenu ili niweze kuondoa hilo tatizo la PARSE ERROR ili nifanikiwe ku -install Apps mbali mbali
Kama vile Mobdro...
Hii ni maalumu kwaajili ya Wale wote wanao tamani kujua masuala haya ya Hacking. lakini hawana sehemu ya kuanzia l.Nimewaletea baadhi ya vitabu na tools za hacking. Utazipata kupitia link hii apa...
Wana jamvi habari za jioni.Naomba msaada Friji langu nilinunua 2008 limeanza kuzingua halipozi na muungurumo wake umebadilika ni silence. Mwenye utaalam naomba msaada maana nimeleta mafundi wawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.