Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana jamii forum Nilikuwa naomba msaada kwa wale wajuvi wa microsoft excel VLOOKUP inafanyaje kazi maana najaribu kuisoma lakini bado inanisumbua kuielewa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natumia Samsung J7 Prime kila nitaka kutuma picha whatsap au IG ina niambia hili neno hap.
0 Reactions
7 Replies
874 Views
Habari zenu wadau? Nnashida na mtaalamu wa kutengeneza website, naomba aje PM Tuyajenge
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndugu ...niliuziwa simu ambayo imekuwa locked line moja tu. Yani haiwez ikafunction bila kuweka hiyo line na internent yenye kasi (3G) imekuwa locked kwenye hiyo line tu.Na sehem...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu naomba mwenye uhitaji wa kutuliza ukali wa mb kua garama kubwa sajili zantel ya chuo utainjoi maisha.
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Haya ukiweza kuifungua Ina AdSense money Kaoledubai@gmail.com Haya Twendenii..
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Wapendwa samahani sana naomba kisaidiwa key za window 8.1. Au vision yeyote, asante
0 Reactions
3 Replies
762 Views
Wakuu hii modem nmenunua 2015 enzi hizo tigo wana zindua 4g Arusha, Nipoinunua ilikuwa inaingiza line za mitandao yote ila sasa kinachoni huzunisha ni kwamba sina option ya ussd kwenye hii modem...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepita sehemu nikaona tangazo kuwa wana chip Play Station 4 (Ps4) na kuruhusu kuhifadhi games ndani ya Internal hard disk ya Ps4 na kuachana na habari ya kununua CD. Je ni kweli habari hizi au...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Moja katika ndoto kubwa za watu ni kufanikiwa kuweka matangazo ya vodacom na mitandao mingine kwenye website yao. Hebu tujaribu kuangalie watu kama millard ayo ni watu ambao wanapokea pesa nyingi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Samahani sana JF, Nilikua unataka kujua seebait wanakulipa MTU akibofya tangazo lao kwenye blog yako au wanalipa kwa traffic nisaidieni wajuzi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uwepo wa simu janja umekuwa na changamoto kadhaa hasa kwenye suala la simu janja kutokaa na chaji kwa muda mrefu na kutokana na changamoto ndio wazo la kushare chaji kwa Wi-Fi lilipozaliwa.. Njia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna kijana alichezea simu na kufuta whatsapp. Sasa nilijaribu kuiweka upya baadhi ya meseji zikarudi na nyingine kugoma. Kuna uwezekano wa kurudisha meseji zote maana nimejaribu mara ya pili zile...
0 Reactions
2 Replies
767 Views
Haya mapungufu ndiyo niliyoyaona ktk halotel bundles app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naona kwenye jf app kila nikifungua thread nakutana na iz alama katikati ya maneno
0 Reactions
0 Replies
752 Views
The University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC) is announcing International Certification Trainings and Workshops for April 2018. The trainings will be conducted after every 2 months. 1...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Natafuta programmer kwa ajili ya kutengeza android app kwa kushirikiana na mimi. Me sio programmer ila nina business idea ambayo tuna2eza tengeneza pesa kwa pamoja. Angalizo. Hii sio ajira. Kama...
0 Reactions
5 Replies
930 Views
Kuna software ya computer inaitwa Sdata tools. Hii software inafanya kazi ya Ku double ukubwa wa memory card na flash. Kama inaukubwa wa 2gb inakuwa 4gb, 4gb-8gb, 8gb-16gb na kuendelea...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kipiga mbiu hapo juu kinavyojileza wapi naweza kupata hii internal circuit ya home theatre sony dav dz 260. Ngoja nijaribu ku attach picture
0 Reactions
4 Replies
891 Views
Kama kichwa kinavyoelezea hapo,juu mimi nnatumia desk top ya dell yenye hard disc ya sata, sasa leo katika kitafuta kwa marafiki nimepata hard disc ya lap top ambayo ni sata pia nikaichukua...
0 Reactions
6 Replies
919 Views
Back
Top Bottom