Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu naombeni msaada simu yangu TECNO W3 inagoma kufanya kazi, kila application inaandika not responding ina_stuck badae inaandika process android stoped . Nimeishaifanyia hard rest lakini bado...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu. Nilikuwa nataka kutengeza channel ya kufundisha programming kwa lugha ya kiswahili je naweza pata watu kweli kibongobongo.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
The target was for you to receive 200V. But the electrician thought, in order for u to receive 200V, they will have to send it with an extras of 20V. The extra which would be lost in the process...
1 Reactions
1 Replies
686 Views
Simu yangu aina ya tecno j8 Jana haikua inaaingiza sms za WhatsApp wakati data iko on . Nikamua ku unstall ,sasa kila nikitaka kuinstall upya inaniandikia hivi
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa. Mimi ni blogger anayechipukia na nimefanikiwa kuwa na site yangu ambayo napata viewers kuanzia 1000+ na kuendelea na nimeiconnect na propeller ads. Tatizo langu ni kwamba ads...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu heshma kwenu,! Simu yangu alcatel 5023F imezingua haiingizi charge na kuna notification inayosema "Phone is charging out now" charge inazidi kuisha na sijui la kufnya ! Tafadhali sana wenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natumia tecno L8+ sasa leo toka asubuhi kila dakika screen inafunikwa na tangazo mara fastjet,mara sportpesa mara hii mara ile. Kuna wakati nilisoma humu Uzi unaelezea setting kublock hayo ma auto...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana? Mimi natumia samsung j7.Hivi majuzi imeanza kufanya vitu ambavyo sijazoea. Simu yangu kwenye screen imejigawa mistari kwa vipande kama vinne hivi horizontally halafu kila...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Wadau naomba mnisaidie jinsi ya kupata vitabu vinavyouzwa bila kulipia.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa sasa tunaona dunia ya sasa teknolojia ndo msingi wa maendeleo kwa nchi zinazoendelea na zilizoendelea. Je kwa TANZANIA tumejiandaa vipi suala la ukuaji wake wa teknolojia? Manake naona vijana...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari.. kama kichwa kinavyojieleza nina smartphone aina ya sony z3 na inaonekana kusupport lte(4g)..na nimeichagua 4g kama preferred ila nashangaa haifiki katika 4g inaishia H+ tu Msaada wenu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Checkers elite ni game la draft kwenye simu,ni game zuri sasa hasa online kwa sababu opponent ni wengi sana, wala hauhitaji kusubiri sana. Shida ni kwamba unapewa energy level kumi kila siku...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani wakuu kama kichwa kinavyojieleza.. Nahitaji msaada wa kuunlock simu yangu ya Huawei Lua 311 U22 ili iweze kutumia line zote... Nimejaribu kuunlock kwa kutumia miracle box, Alladin, Eagle...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nikiconnect External hard drive ya laptop iliyo katika externala case kwenda kwenye Philips FHD smart tv kupitia usb port TV yangu inaplay media zilizopo kwenye drive then bahada kama ya dakika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,Simu yangu Tekno C9 inaisha chagi haraka na betri imetengenezewa ndani. Je kuna wataalamu wa kuweka betri nyingine au ndo imekwisha kabisa. Tatizo lilianza taratibu ilipokuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa mwenye kujua namna ya kupata internet kupitia decoder (king'amuzi) chochote kile iwe dstv/azam anisaidie maana nipo maeneo remote sana hata mtandao wa 2g ni shida yaan ni sms...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Simu yangu ni android 6 itel s31 vituvingi inafanya vizuri tatizo ni SMS ukituma inasema SMS not sent pia ai receive SMS mwanzo ilikuwa sawa tu.Tatizo hilo linasababishwa na nini na nifanyeje ili...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habarini za jioni wana bodi... Niliinstall program yapata miez 6 iliyopita, ikafanya kazi poa, juzi nimepiga window pc, najaribu kuinstall ikanigomea, nimefanya hivyo kwa pc zaidi ya nne imegoma...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Msaada jamani. Nina tablet galaxy tab 4 8 ambayo model ni sm-t337v haionyeshi contacts app wala phone app wala SMS app. Sielewi nisaidieni kama ni kwa wifi tu au inawezekana kufanya setting.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu Kwa anaejua jinsi ya kutoa paten iliyosahaulika ktk simu iliyotajwa hapo juu bila ya kufrash. Najua humu kuna hazina ya wajuzi wengi kama akina Chief Mkwawa na wengine tafadhali Naombeni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom